Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


19 WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM‏

Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(aliesimama kulia)mara baada ya kuwakabidhi washindi hao bodaboda zao,Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TANGA-SINGIDA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM‏

Meneja wa Vodacom Tanzania-Tanga Bw. Mussa Sultan(kushoto)akimkabidhi Pikipiki Agnes Kilango ambaye ni mmoja wa washindi wa mkoa huo katika Promosheni ya Timka na Bodaboda,Inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Pikipiki wa Mkoa wa Singida katika Promosheni ya Timka na Bodaboda,Bw.Juma Abdallah,akiwa kwenye pikipiki yake mara baada ya kukabiodhiwa rasmi na...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI 6 WA MKOA WA IRINGA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM IRINGA‏

Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Salome Kalinga(wanne toka kushoto)mkazi wa Iringa,akipokea funguo wa pikipiki yake aliyojishindia katika promosheni hiyo toka kwa Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kusini Magharibi Bw.Benedict Kitogwa.Ili kujiunga na Promosheni hiyo mteja anatakiwa kutuma neno PROMO kwenda 15544. Meneja… ...

 

11 years ago

GPL

WAARUSHA WATIMKA NA BODABODA ZAO‏

Mshindi wa Promosheni ya Timka na bodaboda wa Mkoa wa Arusha, Bi. Anna Ombela akikabidhiwa kadi ya pikipiki yake aliyojishindia katika Promosheni hiyo na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini, Bi. Assumpta Malongo (kushoto) katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Nduruma hapo jana. Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao. Meneja wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Bi....

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA‏

Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw. Matina Nkurlu (hayupo pichani). Promosheni hiyo imeisha rasmi na imebadilisha maisha ya Watanzania zaidi ya mia saba (700).
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw.Matina Nkurlu (kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAKABIDHI BODABODA MOROGORO‏

Meneja wa Vodacom Tanzania,Manispaa ya Morogoro Kamanda Kasapila (kushoto) akihakikikisha kadi za pikipiki za washini wa bodaboda wanaoshuhudia kulia kabla ya kuwakabidhi washindi hao,waliojishindia katika promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na kampuni hiyo. Washindi wa nne wa Promosheni ya Timka na  Bodaboda kutoka wilaya mbali mbali za mkoa wa Morogoro'… ...

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA

 Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(hayupo pichani)Promosheni hiyo imesha kwa kubadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700).  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akibadilishana mawazo na baadhi ya washindi walijishindia pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda  wakati...

 

11 years ago

Michuzi

WASHINDI WAENDELEA KUCHUKUA BODABODA ZAO KUTOKA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akifafanua jambo kwa mmoja wa washindi wa Bodaboda Amanzi Mohamed kutoka Bagamoyo wakati wa zeozi la washindi hao kuchukua bodaboda hizo Makao Makuu ya kampuni hiyo Jijini Dar es salaam.Washindi hao ni wa Promosheni ya Timka na Bodaboda iliyomalizika hivi karibuni. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akifurahi na Mama Domotila Charles akikwaa bodaboda yake tayari kuiwasha na kuondoka nayo kutoka Makao Makuu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Timka na Bodaboda Vodacom yabadili maisha ya wateja 600

“NI furaha kwa sababu tumetimiza azma yetu ya kubadili maisha ya Watanzania. Promosheni hii imewanufaisha takribani wateja  600 wakiwemo wa bodaboda na wa fedha taslimu zaidi ya  sh milioni 200.”...

 

11 years ago

GPL

NMB BODABODA LOAN PROJECT‏

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu uwekezaji na uwezeshwaji, Dr Mary Nagu(katikati) na mkuu wa kitengo cha biashara za benki cha benki ya NMB, Filbert Mponzi wakati wa uzinduzi wa mpango wa uwezeshwaji kwa madereva wa bodaboda wa mkoa Mwanza. Uzinduzi huo ulifanyika katika hoteli ya Tilapia ya jijini Mwanza.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani