Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI WAENDELEA KUCHUKUA BODABODA ZAO KUTOKA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akifafanua jambo kwa mmoja wa washindi wa Bodaboda Amanzi Mohamed kutoka Bagamoyo wakati wa zeozi la washindi hao kuchukua bodaboda hizo Makao Makuu ya kampuni hiyo Jijini Dar es salaam.Washindi hao ni wa Promosheni ya Timka na Bodaboda iliyomalizika hivi karibuni. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akifurahi na Mama Domotila Charles akikwaa bodaboda yake tayari kuiwasha na kuondoka nayo kutoka Makao Makuu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI WAENDELEA KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Meneja Mauzo eneo la Moshi mjini Fredrick Chambega (kulia) akimkabidhi zawadi ya king’amuzi mmoja wa washindi wa wiki wa promosheni ya Winda Safari YA Brazili na Serengeti Pasian Shirima (kulia) katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Kilimanjaro, promosheni hiyo inaendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoa wa Kilimanjaro Orest Mmbaga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Samsung Galaxy tab mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WAENDELEA KUCHUKUA SURA MPYA

Kikosi cha usalama cha Jeshi la Polisi kikiwa katika eneo la Mbagala rangi tatu kuhakikisha hali ya usalama inapatikana kufuatia Mgomo wa Madereva wa Mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali. Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala langi tatu, kufuatia Mgomo wa Madereva ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali. hadi...

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA KUWAPATA WASHINDI KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAENDELEA

Kampuni ya TBL leo imekutana na wanahabari kuzungumzia mwenendo wa mchakato wa kuwapata washindi wa vipengele vya tuzo za Tanzania - Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA).
(VIDEO: PATRICK BUZOHERA / GLOBAL TV…

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA BODABODA WAENDELEA KUSAJILIWA KWENYE MFUMO MAALUM WA KUMBUKUMBU


 Waendesha bodaboda mkoani Mbeya wakiwa katika maandamano kuelekea kwenye Uwanja wa CCM Iromba kwenye uzinduzi wa mradi wa kuwasajili na kuwapatia sare maalumu za kuwatumbua.


 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh. Nyerembe Mnase akihutubia hadhira kubwa ya waendesha bodaboda katika uzinduzi wa mradi wa kuwasajili katika mfumo wa kumbumbuku pamoja na kuwapatia sare maalumu.


 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya Matangazo na Masoko ya Alternative Communications Bw. Edward Mgaya akizungumza na hadhira...

 

11 years ago

Habarileo

Vodacom yajumuika na washindi wa promosheni

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom imejumuika na washindi wake 48 wa iliyokuwa Promosheni ya Timka na Bodaboda, iliyodumu kwa miezi mitatu kutoka Oktoba mwaka jana hadi Januari mwaka huu, huku ikijivunia kuboresha maisha ya mamia ya Watanzania.

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA KUJIFUNZA MAENEO YA UTALII AFRIKA KUSINI

 Mwanahabari Vedasto Msungu wa ITV (kushoto) na David Rwenyagira (Radio 5) walikuwa miongoni mwa wanahabari waliofika nje ya Jengo la Mahakama Kuu ya Pretoria ambapo ilikuwa siku muhimu ya utoaji hukumu kwa mwanariadha Oscar Pistorius aliyeshitakiwa kwa makosa ya kumuua mpenzi wake kwa silaha. Unayoyaona hapo nyuma ni magari maalum ya urushaji tukio hilo moja kwa moja katika vyombo mbalimbali vya habari duniani(OB Van) na mahema meupe ni Kambi iliyopigwa na wanahabari hao kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zao

Meneja wa Bayport Mkoani Lindi, Jovin Mapunda, kulia, akimkabidhi kiasi cha Shilingi Milioni moja mshindi wa Kopa Bayport, Said Mkinda, katika droo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Fedha hizo alikabidhiwa juzi. Jovin Mapunda. Picha zote kwa hisani ya Bayport Financial Services.
Washindi wanne wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zaoNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATEJA wanne wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, walioshinda Sh Milioni Moja kila mmoja katika bahati...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA SHINDANO LA APPSTAR WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Mshindi wa kwanza wa shindano la AppStar tabaka la wabunifu waliobobea Roman Mbwasi akielezea jambo wakati wa shughuli ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki hii. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Abigail Ambweni, akimsikiliza kwa makini pamoja na mshindi wa kwanza katika tabaka la wabunifu chipukizi, George Machibya (kulia) Shindano hilo linaendeshwa na...

 

9 years ago

Michuzi

WASHINDI WA SHINDANO LA “JIONGEZE NA MSHIKO” WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Ezekiel Mashita  kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Pascal Bikomagu.(kulia)  akimpongeza bwana Oswald Marandu (kushoto) kutoka Kilimanjaro, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani