MGOMO WA MADEREVA WAENDELEA KUCHUKUA SURA MPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ss37JcHDRac/VUcnD9gAfGI/AAAAAAAHVFw/OMoYwu5nkCQ/s72-c/IMG-20150504-WA0020.jpg)
Kikosi cha usalama cha Jeshi la Polisi kikiwa katika eneo la Mbagala rangi tatu kuhakikisha hali ya usalama inapatikana kufuatia Mgomo wa Madereva wa Mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali.
Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala langi tatu, kufuatia Mgomo wa Madereva ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali. hadi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dtMxrw0J-oQ/VUhjRb3ediI/AAAAAAAHVY8/3iNYU4Odd-c/s72-c/20150504232850.jpg)
Madereva waendelea na Mgomo wao leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-dtMxrw0J-oQ/VUhjRb3ediI/AAAAAAAHVY8/3iNYU4Odd-c/s640/20150504232850.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MMhCX9aDxMQ/VUhkOPi-sdI/AAAAAAAHVZM/kwEuqT-Desk/s640/20150504232952.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1mmyxEGkzLk/VUhk7WgOBnI/AAAAAAAHVZY/tgy8BLRxqqg/s640/20150504233505.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sOPIOGq3EYY/VUhr75g4MxI/AAAAAAAHVZw/lJaPLo6C9go/s640/20150504235023.jpg)
10 years ago
StarTV05 May
Mgomo wa Madereva waendelea, suluhu njia panda.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Madereva wa mabasi ya abiria yanayofanya safari zake mikoani na nchi jirani yamesitisha safari zake kwa madai ya kuboreshewa maslahi yao ikiwepo mikataba ya kazi, posho za safari, mishahara inayokidhi mahitaji pamoja na bima zao.
Mbali na madereva hao kugoma, safari za ndani za jiji la Dar Es Salaam pia zimesitisha safari zake kwa madai hayo na kwamba mgomo huo utaendelea hadi hapo Serikali itakapoingilia kati.
Hali ya sintofahamu imezuka katika kituo...
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Madereva wabuni mbinu mpya ya mgomo
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Madereva Wafanyakazi Tanzania (TADWU), kimesema madereva nchi nzima watakuwa mapumziko kwa wiki moja au zaidi kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya udereva.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa TADWU, Rashid Said, alisema baada ya mazungumzo na Kamati ya Kudumu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wameshindwa kuafikiana na kuona kuwa matajiri ndiyo wana nguvu zaidi kuliko wao waajiriwa.
Alisema kutokana na hali hiyo wameamua kutoendelea na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s72-c/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s640/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Mgomo matumizi ya EFD waendelea
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Mgomo wa waalimu Kenya waendelea
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Wafanyakazi wa Strabag waendelea na mgomo
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...
11 years ago
KwanzaJamii04 Jun
CHUO KIKUU IRINGA WAENDELEA NA MGOMO