Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgomo wa Madereva waendelea, suluhu njia panda.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Madereva wa mabasi ya abiria yanayofanya safari zake mikoani na nchi jirani yamesitisha safari zake kwa madai ya kuboreshewa maslahi yao ikiwepo mikataba ya kazi, posho za safari, mishahara inayokidhi mahitaji pamoja na bima zao.

 

Mbali na madereva hao kugoma, safari za ndani za  jiji la Dar Es Salaam pia zimesitisha safari zake kwa madai hayo na kwamba mgomo huo utaendelea hadi hapo Serikali itakapoingilia kati.

 

Hali ya sintofahamu imezuka katika kituo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Madereva waendelea na Mgomo wao leo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa katika majadiliano na Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya namna ya kuumaliza mgomo wa Madereva wa Mabasi katika stendi kuu ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo. Hapo wanasubiriwa viongozi wa Madereva hao.Hali ilivyo Stendi Kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar hivi sasa. hakuna basi lililoweza kuondoka siku ya leo.
Kikao cha nje kikiendelea.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WAENDELEA KUCHUKUA SURA MPYA

Kikosi cha usalama cha Jeshi la Polisi kikiwa katika eneo la Mbagala rangi tatu kuhakikisha hali ya usalama inapatikana kufuatia Mgomo wa Madereva wa Mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali. Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala langi tatu, kufuatia Mgomo wa Madereva ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali. hadi...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

11 years ago

GPL

ZITTO NJIA PANDA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL) MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kukubali pingamizi lake la kuizuia Kamati Kuu (CC) ya chama hicho isimjadili hadi kesi yake ya msingi itakapokuwa imesikilizwa. Kwa uamuzi huo, Zitto sasa atabaki kuwa mwanachama kwa nguvu ya mahakama...

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi njia panda

saada mkuyaFredy Azzah na Elias Msuya
NCHI inapita katika kipindi kigumu kwa sasa kulingana na matukio mbalimbali yanayotokea wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na hali hiyo, lugha yenyepesi inayoweza kutumika katika kufafanua ni kusema kwamba, nchi ipo njia panda.
Baadhi ya mambo hayo ni yale yaliyotokea na kuigusa nchi kama taifa, huku mengine yakigusa maisha ya wananchi moja kwa moja.
Katiba mpya
Moja ya mambo yanayoumiza vichwa vya Watanzania ni kuhusu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO njia panda

WAKATI Watanzania wakiendelea kutaabika kwa bei mpya za umeme, hali ya kiutendaji ya Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO) iko njia panda kutokana na msuguano uliopo kati ya Wizara ya...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM njia panda

IKIWA imesalia wiki moja kabla ya watangaza nia wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamilisha mchakato

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba njia panda CUF

Sintofahamu imeendelea kukigubika Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kauli ya mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kuwaacha wafuasi wa chama hicho katika giza nene juu ya hatima yake kisiasa.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AWAWEKA UKAWA NJIA PANDA!

Ojuku Abraham SINTOFAHAMU! Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vinne vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD sasa upo njia panda kuhusu ujio wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anayesemwa kutaka kutimka kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). ... Soma zaidi===>http://bit.ly/1JeOk4n

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani