200 wafariki wakitoroka vita S.Kusini
Zaidi ya watu 200 raia wa Sudan Kusini wamezama katika ajali ya ferry kwenye mto Nile wakikimbia vita vinavyoendelea katika mji wa Malakal.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mafuriko Malawi, 200 wafariki
Serikali nchini Malawi imesema kuwa inaendelea kufanya jitihada za kuwaokoa maelfu ya watu ambao walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko makubwa yaliyotokea katika nchi hiyo.
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
UN: Hatujahusika na vita S. Kusini
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amekosoa kikosi cha UN cha kulinda amani nchini humo UNMISS kwa kujihusisha na vita vya nchi hiyo madai ambayo UN imekanusha.
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
UN: Vita visitishwe Sudan Kusini
Mkuu wa vikosi vya kulinda amani vya UN, Sudan Kusini, ametoa wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili22 Dec
11 years ago
BBCSwahili10 May
Wakubaliana kusitisha vita Sudan Kusini
Rais wa Sudan kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi nchini humo Riek Machar waingia katika mkataba wa kustisha vita.
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Sudan Kusini itakubali kusitisha vita?
Mazungumzo ya kusitisha vita ambavyo vimekuwa vikitokota Sudan Kusini kwa karibu wiki tatu yameanza mjini Addis Ababa Ethiopia.
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Maelfu wakimbia vita Sudan Kusini
Takriban Watu 1,000 wameuawa katika mapigano nchini humo na takriban wengine 200,000 wakikimbia mapigano kati ya Jamii ya Dinka na Nuer.
11 years ago
BBCSwahili12 May
Vita vyazuka tena Sudan Kusini
Pande zote katika mzozo wa Sudan Kusini zalaumiana kwa kuibuka upya kwa vita
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Vita vipya vyazuka nchini Suda Kusini
Vita vimezuka nchini Sudan kusini ,siku chache tu baada ya umoja wa mataifa kuonya kuwawekea vikwazo viongozi wa pande husika.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania