26 Wauawa Kigaidi,Misri
Takriban watu 26 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililotekelezwa na Islamic State.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Misri:Hamas si kundi la kigaidi
9 years ago
Bongo514 Nov
Watu 153 wauawa kwenye matukio ya kigaidi jijini Paris, Ufaransa
![2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193-300x194.jpg)
Ufaransa imetangaza hali ya tahadhari na kuimarisha ulinzi kwenye mipaka yake baada ya watu takriban 153 kuuawa jana usiku kwenye mashambulio ya mabomu na bunduki kwenye mji mkuu, Paris.
Takriban watu 100 waliuwa baada ya watu wenye silaha kuvamia kwenye ukumbi wa Bataclan na kuwashikilia mateka.
Watu wengi walipigwa risasi na kuuawa kwenye baa na migahawa kwenye maeneo mengine matano jijini humo. Washambuliaji wanane wanadaiwa kuwa wameuawa.
Wakazi wa Paris wameombwa kujifungia majumbani...
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
18 wauawa Misri
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Wapiganaji 27 wauawa Misri
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Polisi 5 wauawa Misri
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Maafisa 4 wa usalama wauawa Misri
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Maafisa wa jeshi wauawa Misri
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
Wanajeshi sita wauawa Misri
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Watu 16 wauawa mgahawani Misri