Polisi 5 wauawa Misri
Maafisa 5 wa polisi wameuawa nchini Misri katika shambulizi katika izuizi kimoja cha polisi mjini Cairo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Polisi 6 wauawa katika mlipuko Misri
Polisi 6 wameuawa katika mlipuko uliotokea barabarani katika rasi ya Sinai Misri
11 years ago
BBCSwahili20 Apr
Polisi wawili wauawa nchini Misri
Maafisa wawili wa polisi nchini Misri wameuawa kufuatia shambulizi la risasi .
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Polisi 2 wauawa karibu na Ikulu Misri
Mabomu mawili yamelipuka karibu na Ikulu ya Rais mjini Cairo, nchini Misri na kuwaua maafisa wawili wa polisi
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
18 wauawa Misri
Serikali ya Misri imesema watu kumi na wanane akiwemo Polisi mmoja wameuawa wakati wa maandamano nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Wapiganaji 27 wauawa Misri
Wanamgambo 27 wa kiislamu wameuawa kwenye oparesheni kubwa ilioendeshwa na jeshi la Misri katika eneo la Sinai Kaskazini.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
26 Wauawa Kigaidi,Misri
Takriban watu 26 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililotekelezwa na Islamic State.
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
Wanajeshi sita wauawa Misri
Watu wasiojulikana wamewashambulia wanajeshi waliokuwa wanashika doria katika kizuizi cha barabarani viungani mwa mji mkuu Misri.
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Askari 15 wa Misri wauawa barabarani
Misri imesema kuwa mtu mmoja aliyekuwa na silaha amewaua askari kumi na watano katika shambulio la kizuizi cha barabarani.
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Watu 16 wauawa mgahawani Misri
Watu 16 wameuawa katika mji mkuu wa Mirsi, Cairo, baada ya bomu kulipuliwa kwenye mgahawa mmoja, ripoti zinasema.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania