Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


3,000 wahitimu mafunzo ya polisi


Na Rodrick Makundi, Moshi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheir, atakuwa  mgeni rasmi katika sherehe za kufunga mafunzo ya awali ya askari polisi.
Mafunzo hayo yanayoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA) mjini hapa, yatafikia tamati keshokutwa ambapo wageni mbalimbali akiwemo Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Ernest Mangu, watahudhuria.
Akizungumza na waandishi jana, Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Matanga Mbushi,...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Tangazo kwa wahitimu wa kidato cha nne, sita na JKT ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Polisi

JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAJULISHA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA TAREHE 28/08/2015 KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USAFIRI WA KWENDA SHULE YA POLISI TANZANIATAREHE 29/08/2015.
KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA...

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO

  Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Wahitimu mafunzo ya ujasiriamali

Tatizo la ajira kwa vijana na wanawake nchini litapungua kama Serikali na wadau wa maendeleo watashirikiana kuwapatia mitaji na mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali

 

10 years ago

Mwananchi

Wahitimu 50,000 tu huajiriwa kwa mwaka

Takribani wanafunzi 50,000 ndiyo hupata ajira kati ya 150,000 wanaohitimu vyuo vikuu nchini kila mwaka, Bunge lilielezwa jana.

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi Tisa (9) -Wahitimu mafunzo ya uuguzi na ukunga

Rasilimali watu ni changamoto kubwa inayoikabili sekta ya afya nchini Tanzania. Upungufu huu unaathiri mfumo wa utoaji huduma bora na kwa wakati kwa wahitaji. Upungufu wa wahudumu wa afya  wenye ujuzi unaathiri ngazi zote za huduma na hasa vijijini. Kutokana  na wauguzi wakunga kuwa kiini katika utoaji  huduma za afya   vijijini na mijini kwa ujumla,  kuna umuhimu wa  wakunga hawa kupata elimu ya ujuzi  wa kutosha ili waweze kuwafikia wahitaji zaidi ya asilimia  sabini (70%)  ya  jumla ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wahitimu 24,000 Kidato cha 4 hawana matokeo

WATAHINIWA 24,204 wa Kidato cha Nne mwaka 2013, hadi sasa hawajawasilisha malipo ya ada zao kwa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), ili kupatiwa matokeo yao, Bunge limefahamishwa. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa alisema hayo bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Kuruthum Mchuchuli (CUF).

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Ni janga wahitimu 18,000 kutupwa mitaani

>Ni wakati mwingine wa vilio kwikwi na majonzi kwa wazazi, walezi na hata wanafunzi zaidi ya 18,000 waliokosa nafasi ya kujiunga na masomo ya kidato cha tano kwenye shule za sekondari za umma mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

Wataalamu wa tiba ya usingizi Mloganzila wahitimu mafunzo maalumu

Viongozi wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa MNH-Mloganzila katika picha yapamoja na wahitimu wa mafunzo hayo.Mkuu wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Phillip Muhochi (kulia) akimkabidhi cheti mhitimu wa mafunzoya mwaka mmoja ngazi ya cheti ya kozi ya usingizi na ganzi Bw. IsraelMwasenga.

 

11 years ago

Michuzi

Wahitimu wa mafunzo ya muda mfupi Arusha Techinical College

 .Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Abraham Nyanda akisoma hotuba yake wakati wa kufunga  Mafunzo Unganishi(Bridging Course)yatakayowawezesha kujiunga na mafunzo ya  Stashahada ya Uandisi,kushoto ni Mtaalam wa Umwagiliaji kutoka Japan,Nobuyoshi Fujiwara na Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika.  Baadhi ya wanafunzi waliomaliza Mafunzo Unganishi(Bridging Course) na Kozi Awali(Pre-Entry Course)wakiwa makini kusikiliza hotuba ya Mgeni rasmi,mafunzo  yatawawezesha  kujiunga na mafunzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani