Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi Tisa (9) -Wahitimu mafunzo ya uuguzi na ukunga

Rasilimali watu ni changamoto kubwa inayoikabili sekta ya afya nchini Tanzania. Upungufu huu unaathiri mfumo wa utoaji huduma bora na kwa wakati kwa wahitaji. Upungufu wa wahudumu wa afya  wenye ujuzi unaathiri ngazi zote za huduma na hasa vijijini. Kutokana  na wauguzi wakunga kuwa kiini katika utoaji  huduma za afya   vijijini na mijini kwa ujumla,  kuna umuhimu wa  wakunga hawa kupata elimu ya ujuzi  wa kutosha ili waweze kuwafikia wahitaji zaidi ya asilimia  sabini (70%)  ya  jumla ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wahitimu uuguzi watakiwa kuheshimu viapo vyao

WAHITIMU wa mafunzo ya ukunga na uuguzi nchini wametakiwa kuepukana na vitendo vya kuwanyanyasa wagonjwa vinavyolalamikiwa kufanywa na baadhi ya watumishi hao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AMREF kusomesha wanafunzi wa uuguzi

WANAFUNZI 100 wa fani za uuguzi na ukunga, wanatarajia kupata ufadhili wa masomo kutoka Shirika la Utafiti wa Tiba na Afya barani Afrika (AMREF) kuanzia mwaka ujao wa masomo. Ufadhili...

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO

  Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha...

 

11 years ago

GPL

CHUO FEKI CHA UUGUZI CHAFUNGWA, WANAFUNZI WAHAHA

Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha kilichogundulika kuwa ni feki katika kata ya Nyehunge wilayani Sengerema wakiwa ndani ya darasa lao huku wakiwa wamejawa na majonzi baada ya kutapeliwa.
Jengo la chuo feki cha Uuguzi (nursing) cha Huruma ya Mungu Yatosha  kilichopo kata ya Nyehunge wilayani Sengerema.…

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA

  Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail akitoa mada kwa wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Moja ya jukumu la PSPF ni kutoa elimu juu ya PSPF na sekta nzima ya hifadhi ya jamii, PSPF inaendelea kutoa semina kwa vyuo mbalimbali nchini.Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail, wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara.

 

10 years ago

Mwananchi

Wahitimu mafunzo ya ujasiriamali

Tatizo la ajira kwa vijana na wanawake nchini litapungua kama Serikali na wadau wa maendeleo watashirikiana kuwapatia mitaji na mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

3,000 wahitimu mafunzo ya polisi


Na Rodrick Makundi, Moshi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheir, atakuwa  mgeni rasmi katika sherehe za kufunga mafunzo ya awali ya askari polisi.
Mafunzo hayo yanayoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA) mjini hapa, yatafikia tamati keshokutwa ambapo wageni mbalimbali akiwemo Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Ernest Mangu, watahudhuria.
Akizungumza na waandishi jana, Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Matanga Mbushi,...

 

5 years ago

Michuzi

Wataalamu wa tiba ya usingizi Mloganzila wahitimu mafunzo maalumu

Viongozi wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa MNH-Mloganzila katika picha yapamoja na wahitimu wa mafunzo hayo.Mkuu wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Phillip Muhochi (kulia) akimkabidhi cheti mhitimu wa mafunzoya mwaka mmoja ngazi ya cheti ya kozi ya usingizi na ganzi Bw. IsraelMwasenga.

 

10 years ago

Michuzi

18 wahitimu mafunzo ya uongozi bora waliyoanzishwa na Rais Obama

Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress akisisitiza jambo wakati wa ufungaji wa mafunzo ya uongozi bora kwa vijana yaliyoanzishwa na Rais wa Marekani, Barrack Obama kupitia taasisi ya Mandela Fellowship, Ohio University na Institute for International Journalism.Mkurugenzi wa mafunzo ya Yali Connect Camp, Dk. Yusuf Kalyango akizungumza na wahitimu 18 wa mafunzo hayo.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Joshua Nassary akipozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani