3,477 wajiunga na CHF Shinyanga
Wakazi 3,477 wa Manispaa ya Shinyanga ambao ni walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) awamu ya tatu, wamejiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (CHF).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Oct
Asilimia 87 wajiunga CHF Tanga
WILAYA ya Tanga imefanikiwa kushawishi asilimia 87 ya watu wake kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA
Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Vijana wajiunga na al-Shabab Kenya
Polisi nchini Kenya wamewalaumu viongozi watatu wa kiislamu kwa kuwashawishi vijana kujiunga na kundi la kiislamu la al-Shabab
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6YQqAONcG0NrbCWZLZdogIlMUsXZhp5lAbfSig*cvZhAs2jJF-jWvgRjg-bvyo8RvqEHqIVAXYGlGI5K3VqYFR3HO5wBnme/SAMATTA.jpg)
ULIMWENGU, SAMATA WAJIUNGA STARS
Mbwana Samatta. Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, na kujiunga moja kwa moja kwenye kambi ya Taifa Stars kwa ajili ya michuano ya Afrika dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors). Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano hiyo itafanyika kesho (Mei 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Thomas Ulimwengu. Washambuliaji hao wa Taifa Stars wamewasili…...
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Wasichana London wajiunga na IS Syria
Uturuki imeshutumu Uingereza kwamba imechelewa kuijulisha nchi hiyo kuhusu wanafunzi wa kike waliokwenda kujiunga na Islamic State.
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Wanawake 3 kutoka Pakistan wajiunga na IS
Polisi nchini Pakistan wanasema wanawake watatu wameondoka mji wa Lahore na kwenda kujiunga na wapiganaji wa Islamic State nchini Syria.
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Wanajeshi wa Ethiopia wajiunga na Amisom
Wanajeshi wa Ethiopia hii leo wamejiunga rasmi na wanajeshi wa (AMISOM) wanaoshika doria nchini Somalia kupambana na Al Shabaab
9 years ago
Michuzi03 Sep
NGASA, ULIMWENGU, SAMATTA WAJIUNGA STARS
![](http://tff.or.tz/images/mkwasa.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania