Wasichana London wajiunga na IS Syria
Uturuki imeshutumu Uingereza kwamba imechelewa kuijulisha nchi hiyo kuhusu wanafunzi wa kike waliokwenda kujiunga na Islamic State.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Wasichana walioelekea Syria waonekana
Kanda ya Video imeonyesha picha za wasichana watatu wa Uingereza waliotoroka makwao kuelekea nchini Syria ili kujiunga na IS.
10 years ago
BBCSwahili22 Feb
Wasichana watorokea Syria kujiunga na IS
Familia za wasichana wa Uingereza wanaodaiwa kusafiri nchini Syria kujiunga na kundi la Islamic State zimewasihi kurudi nyumbani.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki
Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Erdogan: EU haijatoa msaada wowote kuhakikisha wakimbizi wa Syria wanaishi ''maeneo salama'' nchini Syria.
Rais Erdogan amesema hawezi kuwazuia wahamiaji kuingia Ugiriki.
10 years ago
TheCitizen10 Oct
A CHAT FROM LONDON: London welcomes, supports anti-FGM push in Tanzania
>Wednesday, October 15, 2014...A tiny delegation of well educated women; modest and intelligent, will be welcomed into one of the most powerful rooms in the northern hemisphere. First is Mrs Rhobi Samwelly (pictured), mother of four children, hailing from Butiama, Mara Region.
9 years ago
TheCitizen27 Nov
A CHAT FROM LONDON: Wet afternoon, junkie hobbling on a London street
It is a cold wet winter afternoon, a few days after the Paris and Bamako terrorist attacks. As I stroll down a major street in East London, a man is melodically hollering:“Evening Standard! Evening Standard!â€
9 years ago
Mwananchi22 Nov
KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli
Wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea miezi kadhaa iliyopita, Mtanzania mmoja mkazi London alikuwa na mtazamo tofauti. Mwanamuziki na mcheza sarakasi huyu anaitwa Fab Moses.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu
“Kenya and Friends in the Park†– yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Vijana wajiunga na al-Shabab Kenya
Polisi nchini Kenya wamewalaumu viongozi watatu wa kiislamu kwa kuwashawishi vijana kujiunga na kundi la kiislamu la al-Shabab
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania