Wasichana watorokea Syria kujiunga na IS
Familia za wasichana wa Uingereza wanaodaiwa kusafiri nchini Syria kujiunga na kundi la Islamic State zimewasihi kurudi nyumbani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 May
Kenya:Wasichana 2 washukiwa kujiunga na IS
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Wasichana walioelekea Syria waonekana
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Wasichana London wajiunga na IS Syria
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Azuiliwa kusafiri Syria kujiunga na IS
10 years ago
StarTV20 May
Wasichana wawili wa Kenya washukiwa kujiunga na IS
Wasichana wawili walio marafiki wakubwa wametoweka kutoka nyumbani kwao mjini Nairobi nchini Kenya na wanashukiwa kusafiri nchini Syria ili kujiunga na kundi la wapiganaji wa ISIS.
Waliondoka nyumbani kwao wakati tofauti wakidai kwamba walikuwa wakielekea katika shule moja ya kiislamu lakini sasa wametoweka.
Ndugu na jamaa za wasichana hao wanasema kuwa walipokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa wasichana hao akisema kuwa wako nchini Syria.
Kulingana na mwandishi wa BBC Joseph Odhiambo,Salwa...
9 years ago
MichuziTAASISI YA DON BOSCO YAHAMASISHA WASICHANA KUPENDA KUJIUNGA NA VYUO VYAO
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Majeshi 480 wa Nigeria watorokea Cameroon
10 years ago
KwanzaJamii25 Aug
WANAJESHI 480 WA NIGERIA WATOROKEA CAMEROON
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki