TAASISI YA DON BOSCO YAHAMASISHA WASICHANA KUPENDA KUJIUNGA NA VYUO VYAO
Meneja wa mipango wa kapeni ya Binti Thamani Rosemacy Njoki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya kampeni ya kuwahamasisha wasichana kupenda kujiunga na vyuo vya ufundi ili kujifunza ufundi stadi na kujiendeleza kimaisha ikiwa ni pamoja na kujipatia ajira endelevu, amesema hayo katika kutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushotoni Mkuu wa Chuo cha ufundi cha Don Bosco Dodoma Fromac Mulu.
Mratibu wa kampeni ya Binti Thamani wa taasisi ya Don Bosco, Agnes...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET



TAASISI ya Don Bosco Net Tanzania yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na kimawazo kutokana na wasichana wengi baada ya kumaliza elimu ya Msingi au Sekondari kutofanikiwa kuendelea na masomo yao ya juu kwasababu mbali mbali. Moja wapo ikiwa ada, hali ngumu ya uchumi na maisha inayositisha ndoto yao yakujimudu na kujiendeleza.
Taasisi hiyo imeaanda Kampeni ya...
10 years ago
Michuzi
WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"


TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Don Bosco Net kufanya kongamano leo juu ya kuwashawishi vijana wa kike kujiunga katika vyuo vya Ufundi!
Miongoni mwa wasichana wakiwa katika chuo cha mafunzo ya ufundi kujifunza mambo mbalimbali ya ufundi. Masomo ya ufundi jansia ya kike hasa wasichana wamekuwa nyuma kuichangamkia licha ya juhudi za wadau kujitahidi kuwashashi.
Na Rabi Hume wa Modewjiblog
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Don Bosco Net imeandaa kongamano la kuwakutanisha vijana wa kike ili kuwashawishi kujiunga na vyuo vya ufundi ili kupata elimu na kuwa na uwezo wa kuajiriwa na kuanzisha kampeni ya Binti Thamani...
11 years ago
TheCitizen02 Nov
JKT Stars beat Don Bosco 66-44
11 years ago
GPL
PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)
10 years ago
GPLDON BOSCO YAJA NA KAMPENI YA BINTI THAMANI
10 years ago
GPLHAPATOSHI JUMAMOSI HII VIWANJA VYA DON BOSCO OYSTERBAY
11 years ago
Michuzi
Nusu fainali Dansi 100% kufanyika Don Bosco Jumamosi


11 years ago
TheCitizen28 Jun
Classy ABC, Don Bosco win Union League titles