HAPATOSHI JUMAMOSI HII VIWANJA VYA DON BOSCO OYSTERBAY
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na mchuano wa nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 litakalofanyika jumamosi katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,Kundi litakaloibuka mshindi wa shindano hilo litaondoka na kitita cha shilingi Milioni 5. Anayeshuhudia kushoto ni mratibu wa shindano hilo linaloandaliwa na EATV...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziHAPATOSHA JUMAMOSI HII VIWANJA VYA DON BOSCO OYSTERBAY
Moja...
10 years ago
MichuziNusu fainali Dansi 100% kufanyika Don Bosco Jumamosi
10 years ago
GPLNUSU FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA DON BOSCO JUMAMOSI
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Pop Up Bongo kufanyika Jumamosi hii Triniti Oysterbay Dar
Nuya Essence.
Founder of Branoz Collection Bahati Abraham with customers.
Secret Habits Seller servings customers.
Pediah John, Founder of PSJ Brand with customers.
Na Mwandishi Wetu
WASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oysterbay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya...
9 years ago
MichuziPOP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Akizungumzia kuhusiana na tamasha hilo mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli alisema kuwa milango...
9 years ago
MichuziSt. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam
St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Don Bosco Net kufanya kongamano leo juu ya kuwashawishi vijana wa kike kujiunga katika vyuo vya Ufundi!
Miongoni mwa wasichana wakiwa katika chuo cha mafunzo ya ufundi kujifunza mambo mbalimbali ya ufundi. Masomo ya ufundi jansia ya kike hasa wasichana wamekuwa nyuma kuichangamkia licha ya juhudi za wadau kujitahidi kuwashashi.
Na Rabi Hume wa Modewjiblog
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Don Bosco Net imeandaa kongamano la kuwakutanisha vijana wa kike ili kuwashawishi kujiunga na vyuo vya ufundi ili kupata elimu na kuwa na uwezo wa kuajiriwa na kuanzisha kampeni ya Binti Thamani...
10 years ago
TheCitizen02 Nov
JKT Stars beat Don Bosco 66-44
9 years ago
GPLDON BOSCO YAJA NA KAMPENI YA BINTI THAMANI