Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Don Bosco Net kufanya kongamano leo juu ya kuwashawishi vijana wa kike kujiunga katika vyuo vya Ufundi!

16a0f-15190381524_7ae130369b_o

Miongoni mwa wasichana wakiwa katika chuo cha mafunzo ya ufundi kujifunza mambo mbalimbali ya ufundi. Masomo ya ufundi jansia ya kike hasa wasichana wamekuwa nyuma kuichangamkia licha ya juhudi za wadau kujitahidi kuwashashi.

Na Rabi Hume wa Modewjiblog

Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Don Bosco Net imeandaa kongamano la kuwakutanisha vijana wa kike ili kuwashawishi kujiunga na vyuo vya ufundi ili kupata elimu na kuwa na uwezo wa kuajiriwa na kuanzisha kampeni ya Binti Thamani...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA DON BOSCO YAHAMASISHA WASICHANA KUPENDA KUJIUNGA NA VYUO VYAO

 Meneja wa mipango  wa kapeni ya Binti Thamani Rosemacy Njoki   akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani) juu ya kampeni ya  kuwahamasisha wasichana kupenda kujiunga  na vyuo vya ufundi  ili kujifunza ufundi stadi  na kujiendeleza kimaisha  ikiwa ni pamoja na kujipatia ajira endelevu, amesema hayo katika kutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushotoni Mkuu wa Chuo cha ufundi cha Don Bosco Dodoma Fromac Mulu. Mratibu wa kampeni ya Binti Thamani wa taasisi ya Don Bosco, Agnes...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yaandaa kongamano la vijana la vyuo vya elimu ya juu.

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yenye jukumu la kusimamia sekta ya Vijana nchini imeandaa Kongamano la Vijana kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu kuhusu Wajibu wa Vijana katika Kuimarisha Muungano Wetu Miaka 50 tangu kuzaliwa kwake. 
Kongamano hili la Vijana kuhusu Muungano linafanyika Jumapili Machi 30, 2014  kuanzia Saa  5:00 Asubuhi katika ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam na litarushwa moja kwa moja na Televisheni ya Taifa, TBC One na TBC Taifa.
Kongamano hili ni sehemu ya...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET

Baadhi ya Wanafunzi wakiwa Darasani.Baadhi ya wanafunzi wakijifunza kushona.Masomo yakiendelea kwa baadhi ya wanafunzi.

TAASISI ya Don Bosco Net Tanzania yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na kimawazo kutokana na wasichana wengi baada ya kumaliza elimu ya Msingi au  Sekondari  kutofanikiwa kuendelea na masomo yao ya juu kwasababu mbali mbali. Moja wapo ikiwa ada, hali ngumu ya uchumi na maisha inayositisha ndoto yao yakujimudu na kujiendeleza.
Taasisi hiyo imeaanda Kampeni ya...

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Don Bosco Net, Celestine Kharkongor akizungumza na mwandishi wetu katika kituo cha Don Bosco Ostabay jijini Dar es Salaam kuhusiana na wasichana kutokubweteka na kukaa nyumbani kulea familia bila kuwa na mafanikio au ujuzi wao wenyewe kwaajili ya kujikwamua kiuchumi.Afisa Mipango wa Taasisi ya Don Bosco Net, Rosemary Njoki akizungumza  leo katika kituo cha Ostabay jijini Dar es Salaam.
TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...

 

9 years ago

Michuzi

VYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA

  Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya akizungumza na waandishi habari leo kuhusu kongamano la saba la elimu ya juu 2015 linalotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 1-2, 2015. Pembeni ni Thea Mtau (kulia) na Cosmas Mwasoibya ambao ni wajumbe wa Kamati ya Maandalizi.  Waandsihi wakimsikiliza   Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya katika mkutano na waandsihi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Na...

 

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA UMOJA WA VIJANA WAZALENDO WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DARES SALAAM

Mwanafunzi wa Chuo kikuu huria cha Tanzania Bw. Mussa Omari (katikati) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tamko la kulaani kauli za mwenyekiti wa chadema taifa za kuhamasisha uasi kwa njia ya maandamano, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Bw. Gulatone Masiga akitoa wito kwa wananchi kuudumisha muungano wetu na kuacha kupelekwa na wanasiasa wasio na misingi ya kidemokrasia.Kulia ni Mwanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani