50 Cent amtania Meek Mill kwa kutumia mashairi ya ngoma ya Drake ‘Back To Back’
50 Cent amemtania Meek Mill wakati wa show nchini Sweden wiki hii kwa mujibu wa video iliyowekwa kwenye Twitter na DJ Akademiks.
Kwenye video hiyo 50 Cent aliisifia diss Drake kwa Meek Mill.
50 Cent was in Sweden last night laughing at Meek on Stage … Damn. pic.twitter.com/JBq49iNyoQ
— DJ Akademiks (@IamAkademiks) November 9, 2015
“’That ‘Back To Back’ shit is fire,” 50 Cent anasema kwenye kipande hicho cha video.
Rapper huyo anasikika kwenye video hiyo akirudia mashairi ya wimbo huo...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Dec
Meek Mill amdiss tena Drake kwenye ngoma hii

Beef ya Meek Mill na Drake haioneshi dalili ya kuisha mapema.
Katika muda ambao wengi tulianza kusahau, Meek anarudi tena na nyundo kwa rapper huyo wa Canada itakayokuwepo kwenye mixtape yake ya Dreamchasers 4.
Video fupi ya Meek Mill inayomuonesha akichana mistari michache ya wimbo huo imesambaa mtandaoni.
“When I was saying shit about the rhymes you ain’t wrote / I can’t wait ’til we run in ya / I’ma put a gun in ya,” rapper huyo wa Philadelphia anarap kwenye video hiyo.
Katikati ya...
10 years ago
GPL
MEEK MILL NA DRAKE WAMALIZA BIFU LAO RASMI
10 years ago
Africanjam.Com
LISTEN: WANNA KNOW .. MEEK MILL'S RESPONDS TO DRAKE WITH A DISS TRACK,

The track follows two records from Drake — "Charged Up" and "Back to Back Freestyle" — that put Meek's back against the wall. Everyone expected a response from Meek Mill earlier this week on Hot 97 DJ Funkmaster Flex's show that never transpired. Meek Mill and his team began dropping hints this afternoon that the track would finally be...
10 years ago
Bongo508 Oct
Nicki Minaj adai anaichukua beef ya Meek Mill na Drake
11 years ago
TheCitizen10 Jun
BRAZIL 2014: Guess who’s back, back again? Ronnie’s back, tell a friend
11 years ago
TheCitizen08 Sep
Floyd Mayweather fires back at 50 Cent over jibe
10 years ago
Bongo525 Sep
Drake azungumzia tetesi za kuandikiwa mashairi kwa mara ya kwanza
10 years ago
AllAfrica.Com04 May
Back to Back, Hashim Mbita and Basil Davidson On Liberation Struggle
AllAfrica.com
THE death of Brigadier General Hashim Mbita early this week has robbed us of a true son of the soil. His death coincided with the Union of Tanganyika and Zanzibar celebrations; normally such coincidences signify the importance of the deceased and in this ...
Zuma sends condolences to Tanzania following Mbita's deathThe New Age Online
all 2
11 years ago
Michuzi15 Aug
Ngoma azipendazo ankal - back by popular demand
Narudi katika safu hii kwa ngoma ya "Kuch Kuch Hota Hai"
Na Sultani KipingoKuch Kuch Hota Hai (tafsiri yake “kuna vitu hutokea”), ambayo pia ilijulikana kama KKHH, ni filamu ya kuchekesha ya Kihindi iliyotoka India na Uingereza Oktoba 16, 1998. Mwandishi na mwongozaji wake alikuwa Karan Johar na wachezaji wake walikuwa Shahrukh Khan na Kajol, ikiwa ni filamu yao ya nne pamoja. Ilipigwa India, Mauritius na Scotland, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Karan Johar kuongoza filamu, akiwa na lengo la...