Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


80% wana maradhi ya tumbo Handeni

ASILIMIA 80 ya wagonjwa wanaolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni wanaugua homa ya matumbo. Maradhi hayo yanatokana na idadi kubwa ya wakazi wa wilaya hiyo kukosa vyoo hivyo kujisaidia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMBA 31 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA

TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama 'Handeni Kwetu' limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga.Mratibu Mkuu wa Tamasha la Handeni Kwetu, Kambi Mbwana, akizungumza jambo katika tamasha la mwaka lililofanyika Desemba 14. Mwaka huu tamasha hilo litafanyika Desemba 13, Siku ya Jumamosi, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Picha na Maktaba Yetu.Wasanii wa kundi la ngoma za asili la Mgambo JKT, wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

JK KUIFUNGUA BARABARA YA MKATA — HANDENI NA HANDENI — KOROGWE MKOANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kesho anatarajiwa kuifungua rasmi barabara ya Mkata - Handeni ambayo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami.  Kwa muibu wa taarifa kutoka Wizara ya Ujenzi, Barabara hii ina urefu wa kilometa 53.2.   Akiwa Wilayani Handeni, Rais Kikwete ataifungua pia barabara ya Korogwe – Handeni ambayo vile vile imekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.  Barabara hii ina urefu wa kilometa 65. Katika hatua nyingine mnamo...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZIFUNGUA BARABARA ZA MKATA — HANDENI NA KOROGWE — HANDENI MKOANI TANGA.

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (mwenye koti jeusi katikati) akiwa na baadhi ya Mawaziri, Wabunge na Viongozi wa mkoa wa Tanga wakishiriki kuifungua rasmi barabara ya Handeni – Mkata na Handeni - Korogwe huko mkoani Tanga.  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyenyoosha mkono) akifurahia jambo na Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anayempongeza kiongozi wa kikundi cha ngoma ya Selo baada ya kutumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mkata – Handeni - Korogwe....

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU CHINI YA TUMBO

Tatizo la maumivu chini ya tumbo huwasumbua baadhi ya wanawake huku vyanzo halisi vya maumivu vikiwa vingi tu. Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama tutakavyoona. Maumivu huwapata wasichana ambao tayari wameshavunja ungo na wanawake watu wazima, ingawa hata wasichana wadogo ambao bado hawajavunja ungo husumbuliwa. CHANZO CHA TATIZO
Chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa...

 

10 years ago

GPL

TUMBO LA LULU LAYEYUKA GHAFLA

Brighton Masalu
Miezi miwili iliyopita kuliibuka madai mazito kwamba staa bei mbaya wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameongezeka tumbo hivyo mashabiki wake wakapiga vigelegele kwamba huenda ana mimba lakini sasa tumbo hilo limeyeyuka na yupo ‘flati skriini’. Staa bei mbaya wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, Lulu kwa sasa...

 

9 years ago

Mtanzania

Kim Kardashian: Tumbo linanisumbua

Kim Kardashian Shows Off Huge Baby BumpNEW YORK, Marekani
MKE wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, amesema kwa sasa tumbo lake linaanza kumsumbua kutokana na ujauzito wake wa mtoto mpya.
Kim anatarajia kupata mtoto wa pili huku mtoto wa kwanza akijulikana kwa jina la North, hivyo ujauzito alionao unaelekea mwishoni kupata mtoto wa pili.
“Nguo zangu nyingi kwa sasa zinanibana kutokana na tumbo kuwa kubwa, hiyo ni dalili ya kuwa mtoto anaendelea vizuri.
“Natarajia kuwa na mtoto wa pili muda wowote Mungu akipenda na...

 

10 years ago

GPL

JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?

watu wengi wanahangaika sana na tatizo la vidonda vya tumbo, pasipo kuwa na uhakika kama wanaweza kupona. Lakini leo tutaweza kujua maana ya vidonda vya tumbo (Ulcers), dalili zake, visababishi vyake na hata jinsi gani Watanzania waweze kujiepusha na maradhi hayo na tiba yake. MAANA YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS)
VIDONDA VYA TUMBO hotokea pale kuta za tumbo zinapotoa asidi iitwayo Hydrochrolic acid katika tumbo ambayo kazi yake...

 

10 years ago

GPL

JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?-3

Wiki iliyopita tulizungumzia sana madhara yanayoweza kumkuta mtu mwenye vidonda vya tumbo. Lakini leo sanasana tutaweza kuangalia dalili kubwa za tatizo hili ni zipi na mtu anapoziona katika mazingira yake ya kawaida basi aweze kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuweza kuliondoa tatizo hili kwa urahisi kabisa. DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za tatizo hili la vidonda vya tumbo hutegemeana sana na tatizo linakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani