TUMBO LA LULU LAYEYUKA GHAFLA
![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuChe0aDmX6q-AW2Sf-RI-34StuUMnnbALvwDTPNQvfxXqJcHoPLxJgh-Z7o*hYolzJYvtdxk5eOAphHGVitGR5A/timthumb.php.jpg?width=650)
Brighton Masalu Miezi miwili iliyopita kuliibuka madai mazito kwamba staa bei mbaya wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameongezeka tumbo hivyo mashabiki wake wakapiga vigelegele kwamba huenda ana mimba lakini sasa tumbo hilo limeyeyuka na yupo ‘flati skriini’. Staa bei mbaya wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, Lulu kwa sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/shilolee-3.jpg)
Penzi la Shilole na Nuh layeyuka
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2jthoah3l9cjzBkvD19Bme90TPsRHUQFaFf6Bcljw9p6gEarvl17wx6GQ9mMC3pqRmpOdht5RftU6CHeNsiwK*f/kaka.jpg?width=650)
MAUMIVU CHINI YA TUMBO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXoYadTAjSAU1SAmeK26aUXgZAGxwGkSRQeV79UUVU9rkshBcjWKDEjcmM5E9s*5Cq-GsIs8u4gOgEJt7UXVAui/pepticulcer.jpg?width=650)
JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?-3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHhIBstTOJ51JAm1NgeBv-ybsX1Yv6X82a8J*JdpHLE5FCrfZTmWAWSc60XIYxCWifS7pgRG1E4ZbwNnXAaOlq6/url.jpg)
JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?-2
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Kim Kardashian: Tumbo linanisumbua
NEW YORK, Marekani
MKE wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, amesema kwa sasa tumbo lake linaanza kumsumbua kutokana na ujauzito wake wa mtoto mpya.
Kim anatarajia kupata mtoto wa pili huku mtoto wa kwanza akijulikana kwa jina la North, hivyo ujauzito alionao unaelekea mwishoni kupata mtoto wa pili.
“Nguo zangu nyingi kwa sasa zinanibana kutokana na tumbo kuwa kubwa, hiyo ni dalili ya kuwa mtoto anaendelea vizuri.
“Natarajia kuwa na mtoto wa pili muda wowote Mungu akipenda na...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
80% wana maradhi ya tumbo Handeni
ASILIMIA 80 ya wagonjwa wanaolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni wanaugua homa ya matumbo. Maradhi hayo yanatokana na idadi kubwa ya wakazi wa wilaya hiyo kukosa vyoo hivyo kujisaidia...