A coding class for girls in the slums of Ghana
Coding classes started by a non-profit organisation in Ghana are targeting girls living in poverty.
BBC
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKOCHA SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS "KING CLASS MAWE"
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimpa mazoezi ya nguvu ya kujenga misul, Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Twaha Kassimu, utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani Morogoro Desemba 25, mwaka huu.Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akifundishwa jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa juu 'UpperCut' wakati wa mazoezi ya bondia huyo kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Twaha...
11 years ago
Michuzi10 Jun
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA
Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' akiongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe' aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga Mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis mjini Kitwe, Zambia, kwa KO ya raundi ya 9 na
kufanikiwa kunyakuwa ubingwa huo. Wa pili kushoto ni bondia Shomari Milundi, kulia ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers...
11 years ago
Michuzi04 Jun
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APATA LESENI
Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini T.P.B.O Yassin Abdalla 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi leseni ya ngumi bondia Ibrahimu 'King Class Mawe' ambayo anaweza kutumia Dunia nzima kwa ajili ya kutambulika kitaifa na kimataifa ambayo inaweka rekodi mbalimbali za bondia pindi anapocheza mchezo.
10 years ago
MichuziBONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APOTEZA MCHEZO WA KWANZA NAMIBIA
BONDIA IBRAHIMU CLASS "King Class Mawe" mwenye rekodi namba moja nchini Tanzania na ni namba 216 kwa Dunia amepoteza mpambano wake wa kwanza nchini Namibia kwa kupigwa kwa pointi na bondia Julius Indongo mwenye rekodi ya Namibia namba moja na Duniani ni namba 76 kwa ubora
mpambano huo uliofanyika machi 20,mwaka huu katika ukumbi wa Windhoek Country Club Resort,Windhoek, Namibia.
Mpambano huo ulianza kwa kasi ya ajabu ambapo bondia Class alimkalisha chini Indongo na kuhesabiwa na mpambano...
mpambano huo uliofanyika machi 20,mwaka huu katika ukumbi wa Windhoek Country Club Resort,Windhoek, Namibia.
Mpambano huo ulianza kwa kasi ya ajabu ambapo bondia Class alimkalisha chini Indongo na kuhesabiwa na mpambano...
10 years ago
Michuzi31 Dec
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUZICHAPA FEBRUARI 28,2015
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa U.B.O Africa,Antony Rutta (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka (kushoto) na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaopigwa februari 28,2015 katika ukumbi wa frends corner manzese jijini Dar es salaam.Mabondia Cosmas Cheka (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika februari 28,2015 katika ukumbi wa...
11 years ago
Michuzi26 Jun
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AWASHUKURU VIONGOZI WA NGUMI NCHINI
BONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' amewashukuru viongozi wa ngumi nchini kwa sapoti yao wanayo mpa tangu ahanze ngumi mpaka sasa kwani yeye malengo yake ni kufika mbali zaidi baada ya kunyakuwa mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na WPBF Africa Welterweight Title
Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa DDC Keko kulipokuwa na mkutano mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini cha TPBC, ambapo alikutana na viongozi mbalimbali na kupongezwa kwa kunyakuwa mkanda huo wa...
Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa DDC Keko kulipokuwa na mkutano mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini cha TPBC, ambapo alikutana na viongozi mbalimbali na kupongezwa kwa kunyakuwa mkanda huo wa...
9 years ago
MichuziBONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Vijimambo31 Dec
MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaamMabondia...
10 years ago
Vijimambo02 Mar
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa kugombea ubingwa wa U.B.O Africa mpambano uliofanyika jumamosi ya jana Class alinyakuwa ubingwa huo kwa kushinda kwa Point na sasa Class anashikilia mikanda miwili ya ubingwa wa Africa W.P.B.F na U.B.O Africa Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' askiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Africa wa U.B.O na WPBFBondia Fadhili Majiha kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania