Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


A-Z UGAIDI WA MORO

Na Waandishi Wetu
HII ndiyo A-Z ya wale watu tisa wanaoshikiliwa na polisi jijini Dar baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Mmoja kati ya watu hao (wa kumi), Hamad Makweka aliuawa. Polisi wakimjulia hali mwenzao aliyekatwa na sime shingoni. Watu hao walikamatwa Aprili 14, mwaka huu saa 3:30 usiku katika Kitongoji cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watuhumiwa 25 wa ugaidi kortini Moro

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU 25 wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ugaidi katika Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro, wamepandishwa kizimbani.

 

10 years ago

GPL

HII NDIYO SINEMA KAMILI UGAIDI MORO!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Wakazi wa Wilaya ya Kilombero mkoani hapa, wametoboa siri ya tukio linaloonesha picha ya ugaidi lililotokea Mei Mosi, mwaka huu huku askari mgambo Thomas Manjole (54) aliyejeruhiwa  na bomu la kurushwa akisimulia mkasa mzima jinsi alivyopambana. Askari mgambo Thomas Manjole akiwa na majeraha, hospitalini. Tukio hilo limetokea ikiwa ni takriban wiki mbili tangu Jeshi la Polisi Mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani