Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abdukiba kusambaza ‘Kibibi’ 

BAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Kibibi’, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdukarim Kiba ‘Abdukiba’, anajipanga kusambaza kazi yake mpya hivi karibuni. Mbali ya Kibibi, mkali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mapokeo Kabibi yamkuna Abdukiba

p>KIBAO kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Kibibi’ kilichoimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya, Abdukiba kimeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio. Wimbo huo umesambazwa katika vituo mbalimbali...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwigizaji Yusuph Mlela Ampiga Dongo Nora Amwita Kibibi

KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua.“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule, isitoshe ameshakuwa bibi hivyo nimemsamehe na sina tatizo naye kwani najua, lingekuwa jambo la maana kama angetufuata na kutushauri kama mkongwe lakini si kwa njia...

 

11 years ago

Mwananchi

Sh14bilioni kusambaza umeme

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema mwishoni mwa mwezi huu Serikali itatumia Sh4 bilioni kwa ajili ya kusambaza umeme katika vijiji 14 vilivyopo kwenye Kata ya Ikwiriri na Mloka mkoani Pwani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aamrishwa kukoma kusambaza HIV

Jaji mmoja nchini Marekani amemuamrisha mwanamume mmoja mwathiriwa wa virusi vya HIV kukoma kusambaza virusi hivyo

 

10 years ago

Mwananchi

MSD yaanza kusambaza dawa

>Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imeanza kusambaza dawa katika hospitali mbalimbali nchini, baada ya kupokea kiasi cha Sh20 bilioni ambazo ni sehemu ya malipo ya deni linaloidai Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ney Lee kusambaza ‘Usiogope’

MWANADADA anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Ney Lee, anatarajia kusambaza kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Usiogope’. Ney Lee, ametamba katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mashauzi kusambaza ‘Asiyekujua Hakuthamini’

MWIMBAJI nyota wa miondoko ya taarab nchini, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, anatarajia kuanza kusambaza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Asiyekujua Hakuthamini’ hivi karibuni. Isha Mashauzi ambaye alitamba vilivyo...

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kusambaza makachero majimboni

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward HoseaTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kusambaza vijana wa kazi katika majimbo yote nchini, kuwashughulikia wote walioonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi, ambao wanatoa rushwa ili kupata wafuasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani