Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abiria 43 wauawa Pakistan

Watu waliokuwa kwenye pikipiki wawapiga risasi abiria 43 waliokuwa njiani kwenda kuabudu huko Pakistan

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watu 50 wauawa Pakistan

Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine 100 kujeruhiwa katika bomu la kujitoa muhanga huko Pakistan mpakani na India

 

11 years ago

BBCSwahili

Wahudumu wa afya wauawa Pakistan

Watu waliojihami katika mji wa Karachi nchini Pakistan, wamewaua kwa kuwapiga risasi wahudumu 3 wa afya wakiwemo wanawake 2 waliokuwa wanatoa chanjo ya Polio.

 

10 years ago

GPL

43 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO NCHINI PAKISTAN

WATU zaidi ya 43 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha walioshambulia basi huko Karachi, Pakistan. Basi lililoshambuliwa na watu hao lilikuwa limewabeba waumini wa dhehebu la Shia. Polisi wa Karachi wameeleza kuwa washambuliaji wapatao sita wakiwa katika pikipiki walilishambulia basi katika eneo la Safoora Goth kwa risasi na kuua watu hao 43. ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanne wauawa Pakistan kuhusiana na mauaji Peshawar

Pakistan imewanyonga watu wanne waliohusishwa na shambulio katika shule ya jeshi eneo la Peshawar lililoua watu zaidi ya 150.

 

10 years ago

GPL

BASI LA ABIRIA LAVAMIWA KENYA, WATU 28 WAUAWA

Polisi wa kenya (Picha na Maktaba). Habari kutoka Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya zinasema kuwa, abiria 28 wameuawa na wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kuvamia basi walimokuwa wakisafiria leo alfajiri. Habari zaidi zinasema wavamizi hao huenda ni wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabab. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema wavamizi hao walikuwa wa asili ya kisomali na waliwaua abiria ambao si Waislamu. Jambo...

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pakistan kuzungumza na Taliban

Kundi la waakilishi wa serikali nchini Pakistan linasafiri kuelekea katika eneo la wapiganaji wa Taliban Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistan:Wanamgambo kifungoni

Wanamgambo wa Taliban waliohusika na shambulizi la miaka mitatu iliyopita dhidi ya Malala Yousafzai wahukumiwa kifungo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani