ACHA TUUZE VITUMBUA KISHA TUKATUMBUE!
![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRYjOzQdQF30J2Ohg8MsI0nDTDwtfOfa4Ug7ICy-XGWzLkrp0o9HT8UP5OTpiiBGBTfZUmHBikanfWCj-1NXyMz3/mpekeee.jpg)
Oya masela vipi? Ama nini wazazi? Inakuwaje makachaa wangu? Kama kawa kama dawa kitaa hii ni supa kabisa yaani kutoka kwenye maganda yake. Ama nini? Kitaa hiyo barida? Kaa hapo upate hizi tamu arifu. Tudei bana ngoja nikisanue na sadi stori ya mtu wangu wa nguvu Luka. Jamaa alipokuwa na eji ya miaka bee tu, maza’ke alidedi aisee. Bimkubwa alikuwa amezinguliwa na kansa foo meni yiazi na mwishowe alidanja. Lilikuwa pigo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Majambazi Bunda yaua muuza vitumbua kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKAZI wa mji wa Bunda mkoani Mara hivi sasa wanaishi maisha ya hofu baada ya kundi la majambazi kuvamia na kumuua muuza vitumbua.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:40 usiku na kusababisha taharuki kwa wananchi ambao walilazimika kukimbia kunusuru uhai wao.
Majambazi hayo yalivamia katika eneo jirani na Benki ya NMB Tawi la Bunda na kufyatua risasi ambayo ilimuua kijana huyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hayo pia yalivamia katika vibanda vya...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Juma Nature: Nyota aliyejisomesha kwa kuuza vitumbua, vyuma chakavu(4)
9 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi03 Aug
JUMA NATURE: Nyota wa muziki aliyejisomesha kwa kuokota, kuuza vyuma chakavu na vitumbua
11 years ago
BBCSwahili29 May
Wabakwa kisha kunyongwa India
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Achinja mpenzi wake kisha ajiua
MKAZI wa Kijiji cha Migori mkoani Iringa, Alex Sihayo (38) amemchinja kwa kumkata koromeo na kumua mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake kisha kujiua kwa kunywa sumu. Kamanda wa Polisi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zbhGpgl2pVmgUQAUrWPAHGQiYmUOpnmJamAvkjz2sHwxx-3n2FlUCELmVLNxSr-DEq2LmtLeukiV7O9i4KjBWQG/USD2Reuters.jpg?width=650)
UNAPATA PESA KISHA UNAZITUMBUA BILA MALENGO, UTAFANIKIWAJE?
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-2QH0PUKTJC0/VONfD20NZ-I/AAAAAAADZt8/fQbvRTJEZak/s72-c/6921526e62150a8871edd4c0bd02a8ef.jpg)
AMUUA MDENI WAKE NA KUMZIKA MWENYEWE KISHA KUHAMA NYUMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-2QH0PUKTJC0/VONfD20NZ-I/AAAAAAADZt8/fQbvRTJEZak/s1600/6921526e62150a8871edd4c0bd02a8ef.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-buN1feY9SYQ/VONfEDjNNuI/AAAAAAADZuA/gHkFqTaXPkA/s1600/d644d6c391d60d1b0c603848fac992a5.jpg)