ACHOMWA MOTO, AGOMA KUFA

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya MTU mmoja anayetuhumiwa kwa wizi wa ng’ombe na ndama wake, mwishoni mwa wiki iliyopita alipata kipigo cha kufa mtu na baadaye kuchomwa moto, lakini katika hali isiyo ya kawaida, hakuweza kufariki ‘kugoma kufa’ hadi polisi walipotokea na kunusuru maisha yake. Mtuhumiwa wa wizi wa ng'ombe akiwa kwenye majani yaliyotumika kumchochea moto mara baada ya kupata mkong'oto wa nguvu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MWANAFUNZI CHUO KIKUU ACHOMWA MOTO
11 years ago
GPL
MTOTO AVALISHWA NAILONI MKONONI, ACHOMWA MOTO
11 years ago
GPL
ACHOMWA MOTO AKIDAIWA KUIBA BAISKELI MOROGORO
11 years ago
GPL
KIBAKA ACHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Mtoto wa mwaka moja achomwa moto West Bank
11 years ago
Habarileo27 May
Mtoto achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba 2,600/-
MWANAFUNZI wa darasa la pili, Shule ya Msingi ya Wailesi mjini Lindi (jina linahifadhiwa) ameunguzwa moto sehemu ya mikono yake baada ya kufungwa kamba na mama yake mzazi.
10 years ago
GPL
KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA
11 years ago
GPL
VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA