MTOTO AVALISHWA NAILONI MKONONI, ACHOMWA MOTO

Chande Abdalah na Denis Mtima OOoh my God! Mtoto Elifrida Nicholaus (6), mkazi wa Mkolani, Nyamagana jijini hapa alizaliwa mzima kabisa lakini sasa ni kilema baada ya kudaiwa kuchomwa moto mkononi na shangazi yake aliyemtaja kwa jina moja la Esta. Mtoto Elifrida Nicholaus baada ya kuchomwa moto na shangazi yake. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Julai 10, mwaka jana ambapo Elifrida aliyechukuliwa kutoka Kigoma kwa wazazi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Mtoto wa mwaka moja achomwa moto West Bank
11 years ago
Habarileo27 May
Mtoto achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba 2,600/-
MWANAFUNZI wa darasa la pili, Shule ya Msingi ya Wailesi mjini Lindi (jina linahifadhiwa) ameunguzwa moto sehemu ya mikono yake baada ya kufungwa kamba na mama yake mzazi.
11 years ago
GPL
ACHOMWA MOTO, AGOMA KUFA
11 years ago
GPL
MWANAFUNZI CHUO KIKUU ACHOMWA MOTO
11 years ago
GPL
ACHOMWA MOTO AKIDAIWA KUIBA BAISKELI MOROGORO
11 years ago
GPL
KIBAKA ACHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR
10 years ago
GPL
KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA