ACT kutembelea mikoani
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kitaanza ziara katika mikoa mbalimbali nchini kuanzia wiki ijayo.
Tangu chama hicho kipate usajili wa kudumu kimekwisha kufanya uchaguzi mkuu ulioambatana na uzinduzi, Machi 28 na 29.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa ACT, Anna Mghwira alisema Kamati Kuu ya chama hicho imeazimia kuanza ziara ya chama katika mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Dodoma,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi14 Jun
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo523 Oct
Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’
9 years ago
TheCitizen07 Oct
PCCB must act,not pledge it will act on corruption
10 years ago
TZToday![](/images/blue-2.png)
10 years ago
Michuzi02 Oct
Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-PQ3cCBhtNUE/VCwNv30XPoI/AAAAAAADEsg/fLSGWFewAGQ/s1600/01.aa4.jpg)
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Mpoto ajivunia ziara mikoani
MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Nauli za mabasi mikoani zashuka
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
TAA kuboresha viwanja mikoani
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA), imesema itaendelea kuboresha viwanja vya ndege vilivyoko mikoani, ili kila mwananchi aweze kutumia usafiri huo. Ofisa Sheria na Mahusiano wa mamlaka hiyo, Nuru Nyoni,...