Habari za Mikoani
![](/images/blue-2.png)
Habari za Mikoani
TZToday
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Apr
ACT kutembelea mikoani
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kitaanza ziara katika mikoa mbalimbali nchini kuanzia wiki ijayo.
Tangu chama hicho kipate usajili wa kudumu kimekwisha kufanya uchaguzi mkuu ulioambatana na uzinduzi, Machi 28 na 29.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa ACT, Anna Mghwira alisema Kamati Kuu ya chama hicho imeazimia kuanza ziara ya chama katika mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Dodoma,...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Prodyuza: Vipaji mikoani havithaminiwi
IMEELEZWA kuwa licha ya wasanii wengi wa mikoani kuwa na vipaji vya kuimba, lakini hawathaminiwi katika kazi zao. Hayo yalisemwa jana na prodyuza Abdulaziz Issa ‘EiZER BiTZ’ wa mkoani Tabora,...
10 years ago
Michuzitaswira mbalimbali kutoka mikoani
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Mpoto ajivunia ziara mikoani
MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
TAA kuboresha viwanja mikoani
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA), imesema itaendelea kuboresha viwanja vya ndege vilivyoko mikoani, ili kila mwananchi aweze kutumia usafiri huo. Ofisa Sheria na Mahusiano wa mamlaka hiyo, Nuru Nyoni,...
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Nauli za mabasi mikoani zashuka
10 years ago
Habarileo13 Nov
Sumatra kubana mabasi ya mikoani
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
UKAWA sasa kuingia mikoani
HARAKATI za Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), za kuizuia CCM isihodhi mchakato wa uandikaji wa Katiba sasa zimechukua sura mpya ya kufanya mikutano ya hadhara mikoani. Awali UKAWA walikuwa...