Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA sasa kuingia mikoani

HARAKATI za Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), za kuizuia CCM isihodhi mchakato wa uandikaji wa Katiba  sasa zimechukua sura mpya ya kufanya mikutano ya hadhara mikoani. Awali UKAWA walikuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vituo mabasi yaendayo mikoani vijengwe sasa

Kama kuna jambo ambalo Serikali itakuja kulijutia muda si mrefu kutoka sasa; ni ucheleweshaji usio na sababu wa ujenzi wa vituo vya mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Daladala sasa zaruhusiwa kusafirisha abiria mikoani

Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imeruhusu mabasi ya usafiri jijini Dar es Salaam, maarufu kama daladala, kufanya safari ndefu kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na mahitaji makubwa ya huduma hiyo katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya TUSKER ‘Fanyakweli Kiwanjani’ sasa kutimua vumbi mikoani

Tusker logo

Kampeni maarufu ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inatarajia kutimua vumbi wiki hii kwa wakazi wa jiji la Dar huku ikitanua wigo wake mikoani baada ya kufanya vizuri kwenye kipindi chake cha kwanza.

Kampeni hii inayoletwa kwenu na Kampuni ya bia ya Serengeti imejipanga kusaidia baa mbalimbali za mitaa tunayoishi na kuzipigia promo ya huduma zake kwa wapenzi mbalimbali wa kinywaji cha Tusker.

Akizungumza kuhusiana na mchakato mzima  wa Kampeni hiyo Meneja chapa bia ya Tusker Bi. Sialouise Shayo...

 

9 years ago

Mwananchi

AU sasa kuingia Burundi Januari 15

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) wanasubiri mwafaka wa Serikali ya Burundi kwenda nchini humo kama sehemu ya juhudi za kidiplomasia za kuliepusha taifa hilo kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sasa Jeshi lazuia watu kuingia Monrovia

Wanajeshi wa Liberia wameweka vizuizi barabarani kuzuia watu kutoka eneo lenye Ebola kutoingia Monrovia.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa anavyowapa Ukawa jeuri kuingia Ikulu

Sasa ni rasmi, waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema. Mwanasiasa huyo mkongwe na ambaye amekuwa gumzo ndani ya CCM, alikitosa chama hicho na kujiunga na upinzani.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa hatarini kufutwa

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) sasa upo hatarini kufutwa kutokana na kutuhumiwa kutumika kuwachochea wajumbe kufanya vurugu katika Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa sasa pasua kichwa

LICHA ya agizo la Rais Jakaya Kikwete la kuwataka viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), kuacha kususa na kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ili kuendelea na mchakato huo, kufikia jana hakukuwa na mwelekeo wa kulegeza msimamo wao.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA SASA RASMI UKAWA

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa (kulia) akiwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu wakiwa katika mazungumzo walipokutana hivi karibuni jijini Dar. BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani