ACT-Wazalendo yalilia maisha ya Wazanzibari
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
HALI ya kisiasa visiwani Zanzibar, imeelezwa kuathiri maisha ya wananchi huku bei za vyakula ikipanda kwa kasi na kufikia asilimia 16 hadi 30.
Licha ya hali hiyo pia mfumko wa bei umepaa na kufikia asilimia 11, tofauti na miaka ya hivi karibuni.
Taarifa iliyotolewa jana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ilieleza kuwa sekta ya utalii ambayo ni muhimu kwa uchumi wa Zanzibar imeathirika kiasi kikubwa, ambapo hivi sasa hoteli zimekuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
9 years ago
TheCitizen19 Aug
ACT-Wazalendo yet to get Ikulu candidate
10 years ago
TheCitizen27 Jul
Act-Wazalendo to go it alone in polls, Zitto says
9 years ago
Mwananchi04 Oct
ACT Wazalendo kuimarisha kilimo
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo
9 years ago
Mwananchi01 Oct
ACT Wazalendo: Muungano ni maridhiano
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Urais ACT — Wazalendo sarakasi tupu
9 years ago
Habarileo06 Oct
ACT Wazalendo wahofia usalama wa Slaa
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimefuta mikutano yote ambayo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alikuwa aifanye kuanzia kesho kupitia jukwaa la chama hicho.