Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT yataka soko kuu Kahama kuboreshwa

CHAMA cha Tanzania Aliance for Change Transparency (ACT) Wazalendo wilayani Kahama mkoani Shinyanga, kimeitaka halmashauri ya mji huo kuboresha soko kuu la mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KANUNI LIGI KUU Z'BAR KUBORESHWA

SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limeanza mchakato wa kufanya maboresho ya Kanuni za Mashindano kwa ajili ya msimu ujao wa mwaka 2020/21, imeelezwa.

Akizungumza na gazeti hili jana, Mkurugenzi wa Mashindano wa ZFF, Ali Mohammed Ameir, alisema katika mchakato huo wameanza na zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wadau wa soka wa visiwani hapa ili kupatikana kwa kanuni mpya za mashindano.

Ameir alisema kila mtu anayo fursa ya kutoa maoni juu ya kanuni ya kuendesha mashindano kwa msimu wa mwaka...

 

10 years ago

GPL

SOKO LA WAKULIMA KAHAMA LATEKETEA KWA MOTO

Soko la Wakulima la Majengo, Kahama lilivyoteketea kwa moto. Wafanyabiashara wa soko hilo wakitoa baadhi ya bidhaa zilizosalia baada ya tukio hilo. Uokoaji wa bidhaa ukiendelea.…

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA EXIM SHINYANGA WASAFISHA SOKO KUU

 Wafanyakazi wa Benki ya…

 

10 years ago

Mwananchi

Kufunguliwa kwa Soko Kuu Moshi kwazua utata

Meya wa Mji wa Moshi, Jaffar Michael amesema kufungwa kwa Soko Kuu la Kati mjini Moshi na kufunguliwa kwa amri ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ni sinema ya kisiasa.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa

Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.

Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.

 Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MAJLIWA AFANYA USAFI SOKO KUU LA KARIAKOO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WA SOKO KUU SENGEREMA MJINI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabishara wa Soko Kuu Sengerema mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia miundo mbinu ya maji taka inayolalamikiwa na wafanyabiashara wa soko kuu la Sengerema.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya miundo mbinu ya maji taka katika soko kuu la Sengerema mjini.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabiashara na vijana wa stendi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani