Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ADELE: STAA ALIYEZOA TUZO, ASIYEISHI KISTAA

Kwa jina lake kamili anajulikana kama Adele Laurie Blue Adkins. Ni Muingereza ambaye kwa kipindi kirefu cha nyuma alitamani kuwa staa mkubwa, alipambana na kutoa nyimbo kali kama First Love (2008), Make You Feel My Love (2008) na nyinginezo nyingi. Hizo zote, hazikuweza kumtambulisha katika ulimwengu wa muziki mpaka pale alipotoa singo kali iliyobeba jina la Someone Like You ambayo ilimfanya kutambulika zaidi duniani na watu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Adele atawala tuzo za BBC

Nyota wa muziki wa Pop Adele ametawala tuzo za pili za BBC baada ya kushinda tuzo ya msanii bora Uingereza na maonyesho bora ya moja kwa moja.

 

10 years ago

GPL

JOKATE: MAPENZI YA STAA KWA STAA MBONA POA TU!

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
ANAJULIKANA kwa jina la Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, alianza kupata umaarufu kupitia fani ya urembo lakini kwa sasa sauti yake kusikika kwenye Bongo Fleva na kazi zake za urembo ndizo zinamfanya asomeke kwenye vyombo vya habari. Mwanamuziki Ali Kiba. Jokate ambaye alitumia alama iliyopo kwenye uso wake kujipa jina la utani la Kidoti, amezungumza na...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]

The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

Kutana na Linah uishi Kistaa

Kufahamu zaidi ingia https://www.vodacom.co.tz/vas/services/ishi-kistaa

 

10 years ago

GPL

SHOO YA USIKU WA ISHI KISTAA YAFANA DAR

Baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko (wa kwanza kutoka kushoto), Linah,Barnaba, Joh Makini wakiwa kwenye pozi na mmoja wa mashabiki wao ndani ya Ukumbi wa Escape One katika shoo ya Usiku wa Ishi Kistaa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. Msanii wa Hip Hop, Izzo Business akisaini kwenye moja ya bango la shoo hiyo muda mfupi baada ya kuwasili mahali hapo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani