Kutana na Linah uishi Kistaa
![](http://1.bp.blogspot.com/-ViIKmRX3v8k/VQb7mrKkifI/AAAAAAAHKyI/ZClgyO_yqKA/s72-c/unnamed.png)
Kufahamu zaidi ingia https://www.vodacom.co.tz/vas/services/ishi-kistaa
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwIv5abs1gHNI56qqXknZfRvFzFNb5d2sJuuzzbYOVHwNyrLZI8*6pKmI1gT-S3wyvPMHqneBKQgoY*F*TvlLPMj/Week1PRPost.png?width=650)
9 years ago
Bongo503 Oct
Tembea peku uishi miaka mingi zaidi — Mpoto
Mrisho Mpoto ameendelea kujivunia kutembea peku na kudai kuwa ni njia nzuri ya kujiongezea miaka mingi ya kuishi. “Nimeshajibu hili swali mara milioni,” alisema Mrisho baada ya kuulizwa na Global TV sababu ya kutembea peku. “Ili uwe na akili lazima ukanyage chini. Unajua ili uishi muda mrefu, hili ni kosa kubwa la kiufundi ndIo maana […]
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0tiNYMXM9zwzXe*gv-tPVDN4CUm1DjtTa8lc0eml*EMcknBJFY*fnK-s-vqRjWEDtNrdmpbA2Zo6czaHyFgV80sZ/MAHABA.jpg)
MAPENZI NI AFYA, NENDA NAYO VIZURI UISHI, UKIKOSEA NI KIFO CHA HARAKA-2
Kama nilivyogusia wiki iliyopita ni kuwa mapenzi yakienda mrama husababisha moyo ushindwe kufanya kazi sawasawa kisha kutengeneza sumu hatari kwenye mishipa ya damu, huathiri na kuharibu kabisa mzunguko wa damu kwenye ubongo, hivyo kusababisha oksijeni ikose mtiririko mzuri na baada ya hapo ni madhara makubwa ya kiafya kama siyo kifo. Hakikisha unayewekeza mapenzi kwake, naye yupo tayari kwa ajili yako. Penzi la upande mmoja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRmcVZbS3JjwEzU5j2aIvIStOwRlBkqR--hLiFQnWirvkZFAFZtwrB7QKPB3Iz4YTuoSM02hwGMNjaMrvvOVOfvi/vvvv.jpg?width=650)
MAPENZI NI AFYA, NENDA NAYO VIZURI UISHI, UKIKOSEA NI KIFO CHA HARAKA
Changanua mambo inavyotakiwa, kadiri unavyoyafanya maisha yako kuwa na majanga, ndivyo na umri wako unavyoufupisha. Hii ikupe changamoto ya kuchagua jema kati ya mambo mawili. Kuongeza siku za kuishi au kuzipunguza na kukielekea kifo cha haraka. Mantiki hapa ni namna ya kuyatumia mapenzi ili kupata umri kulingana na namna utakavyokadiriwa na Mwenyezi Mungu. Vilevile, ni jinsi unavyokwenda kinyume nayo, matokeo yake yakakufanya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sTVlpNgegZw/VXBrEZ5RoII/AAAAAAAHcFo/H-n0YwxhEP8/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9JlF4F0jf30/VXgJ_PduJ7I/AAAAAAAHeQo/EDI9VRslWyY/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzdpOwsCUUmi9b5MSXlnNsJl4Ku9Bjj8NUS*l92*lzuzib05dyMEKRNkNfEh3WmS*Gj6Gtgy7aZezOlC4vIg3lyw/RichMavokoPR.png)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/adele-4.jpg?width=650)
ADELE: STAA ALIYEZOA TUZO, ASIYEISHI KISTAA
Kwa jina lake kamili anajulikana kama Adele Laurie Blue Adkins. Ni Muingereza ambaye kwa kipindi kirefu cha nyuma alitamani kuwa staa mkubwa, alipambana na kutoa nyimbo kali kama First Love (2008), Make You Feel My Love (2008) na nyinginezo nyingi. Hizo zote, hazikuweza kumtambulisha katika ulimwengu wa muziki mpaka pale alipotoa singo kali iliyobeba jina la Someone Like You ambayo ilimfanya kutambulika zaidi duniani na watu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4iGGfOEDayv3rztMsy*fSF4o-C98ePwOrbHeQ*99OGmp90yy8U0BMMDTzxnLOgWpkgYwCKnIzNpI6SKfDzWlYriYW0ad1hNe/1.jpg?width=650)
SHOO YA USIKU WA ISHI KISTAA YAFANA DAR
Baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko (wa kwanza kutoka kushoto), Linah,Barnaba, Joh Makini wakiwa kwenye pozi na mmoja wa mashabiki wao ndani ya Ukumbi wa Escape One katika shoo ya Usiku wa Ishi Kistaa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. Msanii wa Hip Hop, Izzo Business akisaini kwenye moja ya bango la shoo hiyo muda mfupi baada ya kuwasili mahali hapo.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania