Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adumaa kwa miaka 18, aomba msaada wa kutibiwa

Wazazi wa binti mwenye ulemavu wa viungo na akili, Farida Abdalah (18) mkazi wa Lukobe Juu wameiomba Serikali, wasamaria wema na wadau mbalimbali kumsaidia binti yao huyo ambaye kwa sasa amelazwa katika hospitali ya rufaa na anaendelea kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA AKAPATE MATIBABU YA MOYO MUHIMBILI


NA  YEREMIAS  NGERANGERA…NAMTUMBOMtoto mwenye umri wa miaka  tisa na mwanafunzi wa darasa la tatu  katika shule ya msingi Likuyuseka wilayani Namtumbo  mkoani Ruvuma Jeska James Kifaru anaomba kutoka kwa wasamaria wema kumsaidia mchango wa fedha ili aweze  kwenda matibabu ya moyo katika hospitali ya Taifa Muhimbili  baada ya wazazi wake kutokuwa na uwezo wa kumfikisha katika hospitali hiyo.Akiongea akiwa katika ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  Jeska alisema anaomba msaada kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA

Na Editha Karlo, Globu ya Jamii - Kigoma
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa  wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni  watatu na  mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama  kwa njia...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

WANAWAKE wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao.

Mwanamama Ester Charles ambaye ni mkazi wa Mwambani wilayani Ilemela ametelekezwa na mumewe aliyetajwa kwa jina la Albinus na kubakizwa na watoto wawili wadogo wanaohitaji uangalizi na usimamizi. Pichani mwanamama Ester akiwa na mtoto wake mdogo anayetaabika na ugonjwa wa kupooza. 


KWA UFUPI
Mumewake alipopata mwanamke mwingine alihama nyumba aliyokuwa akiishi...

 

11 years ago

GPL

ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA

Mapacha wanne wa Aida Nakawala. Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.…

 

10 years ago

Vijimambo

MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI, MZAZI AOMBA MSAADA WA NAULI KWENDA KUMZIKA MWANAE


Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake.
Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi
MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita.

Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo, aliwasiliana nao kwa njia ya simu mara kwa mara na walipata taarifa za kifo...

 

9 years ago

Dewji Blog

TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.

Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.

Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aomba msaada wa matibabu

GERALD Mwambungu (35) mkazi wa Ubungo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam, anaomba msaada wa kwenda India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake wa kulia. Akizungumza jana katika ofisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani