Aeshi: Tujiandae kwa katiba uchaguzi ukipita
MJUMBE wa Bunge Maalum, Aeshi Hilary, amesema kuahirishwa kwa mchakato wa Katiba mpya kutasaidia taifa kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo na mabadiliko ya katiba ya sasa. Kauli hiyo, aliitoa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Aeshi: Katiba mpya 2018
MJUMBE wa Bunge Maalum, Aeshi Hilary, amewataka Watanzania wasiendelee kuamini upotoshwaji kuwa katiba mpya itatumika mwaka 2015 bali wajue itatumika mwaka 2018. Hilary, amesema wananchi wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: AESHI KHALFAN HILALY
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
SIASA: ‘Ole wao wanaotumia Katiba kwa uchaguzi’
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Tujiandae ya Nestori kuzinduliwa
MWIMBAJI wa nyimbo za injili, Mtanzania anayeishi nchini Australia, Mkuruta Nestori, anatarajia kuzindua albamu yake iitwayo ‘Tujiandae’ ikiwa katika mfumo wa DVD, shughuli itakayofanyika kwenye Kanisa la Victoria Living Church...
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Tujiandae na ujio wa Windows 10
10 years ago
Habarileo08 Aug
WanaCCM wavamia ofisi wakihoji kuenguliwa Aeshi
WAKAZI na wapigakura wa Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa wamevamia Ofisi ya CCM wilaya ya Sumbawanga Mjini, wakidai kupewa maelezo ya kina kuhusu kuenguliwa jina la mbunge aliyemaliza muda wake, Aeshi Hilaly.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Tunashangaa wizi IPTL? Tujiandae kulipa deni
HIVI karibuni umefichuliwa ufisadi mkubwa wa dola za Marekani milioni 122 sawa na sh bilioni 200 unaodaiwa kufanywa na vigogo wa serikali. Msusuru mrefu wa majina ya viongozi na watendaji...