Afande Sele kumaliza kesi ya neno ‘Simba’ kati ya Diamond na Mr Blue kwa style hii
Mfalme wa Rhymes, Afande Sele ameingilia kati malumbano kati ya Diamond Platnumz na Mr Blue juu ya umiliki halali wa jina ‘Simba.’
Ikumbukwe kuwa Blue ndiye aliyelalamika kuhusu jina hilo lakini Diamond bado hajajibu kitu.
Afande anajipanga kurudia wimbo wake ‘Simba Dume’ ambao anataka awashirikishe Diamond na Mr Blue ili kila mmoja ajieleze yeye ni Simba wa aina gani! Patamu hapo…
Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumanne hii, Afande alisema hatua hiyo itawafanya wasanii...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Jan
BIFU LA DIAMOND, BLUE, AFANDE SELE AIBUKA
NA CHRISTOPHER MSEKENA
LILE bifu la kugombania jina la Simba ambalo linawahusisha wasanii nyota wa Bongo Fleva, Henry Samir ‘Mr Blue’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’ limemuibua mkongwe Suleiman Msindi ‘Afande Sele’ ambaye alikuwa kwenye mishe za siasa.
Afande Sele maarufu Mfalme wa Rymes, aliyekuwa akigombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini, amesema yeye ndiye mwanzilishi wa jina hilo miaka mingi iliyopita.
“Hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuambia, mimi ndiye Simba Dume. Mwaka 2008...
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Mr. Blue bado analalamikia jina la ‘Simba’? Vipi ana tatizo na Diamond Platnumz? Hii hapa.. #UHeard (+Audio)
Ishu ilianza kwenye mtandao wa Instagram ambapo Mr. Blue alipost kwamba amesikia kuna watu wanajiita simba akati yeye alijiita jina hilo kwa sababu ya style yake ya kuchana. Blue amesema hana kinyongo kwa kuigwa lakini aliona aweke wazi ili watu wajue kwamba anaigwa na wengi na anajivunia kwa kuwa mfano wa kuigwa… Kuhusu ishu ya […]
The post Mr. Blue bado analalamikia jina la ‘Simba’? Vipi ana tatizo na Diamond Platnumz? Hii hapa.. #UHeard (+Audio) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio)
Hivi karibuni Msanii Diamond Platnumz amekuwa akilitumia jina la Simba kama moja ya a.k.a katika maeneo mbalimbali hasa akiwa kwenye stage, Lakini hapa nakukutanisha na Msanii Mr. Blue akielezea watu wanaotumia jina hilo. Unaweza kubonyeza Play hapa chini na ukapata full stori Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo528 Dec
Mr Blue adai jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa alilianzisha yeye!
![10576220_206062963068992_1265041402_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10576220_206062963068992_1265041402_n-300x194.jpg)
Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake.
“Naikumbuka hii post niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba…ila inanishangaza kuona baada ya muda watu wengi wakijiita jina hili …hiii inanionesha kuwa mi ni mbunifu wa hali ya juu..na watu husubiri mimi nifanye ili waige….#mfanowakuigwa$,” Blue ameandika kwenye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeAxtPSh-axbmc1fqJvtD-NLuEyd1XImUfABKpoawOyDF9H6V48Rdd7wDLebyAy8FgqHr2v42nlCEpHnDJzJrwZ8/afande.jpg?width=650)
MASKINI AFANDE SELE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s72-c/IMG-20140817-WA0024.jpg)
Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s1600/IMG-20140817-WA0024.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4iCgZ_ixAsw/U_Dj6VbJChI/AAAAAAACnjw/NLcPxEFzKI4/s1600/IMG-20140817-WA0025.jpg)
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-T5d6ReEQFFNKQIWZIo9c58fzc6xoqCwI16vepRlo9PR77UH*tJZc*FcqkFQZonolVh7BWrBsg1H8qNgdqVkwlcnm-*cwS0o/BREAKINGNEWS22.gif?width=500)
MKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Afande Sele amnadi mgombea udiwani
MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzi alimnadi mgombea udiwani wa Kata ya Tungi, Juma Tembo (CHADEMA), kwa falsafa yake mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho,...