Afande Sele, Mpoto, Dyna watoa elimu ya misitu
NA AZIZA MASOUD
MTANDAO wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA), umerekodi wimbo maalumu wa elimu juu ya uhamasishaji wa utunzaji na kuzuia uharibifu wa misitu.
Wimbo huo umeimbwa na wasanii; Mrisho Mpoto, Suleiman Msindi (Afande Sele) na Dyna Nyange, huku maudhui yake yakilenga elimu ya utunzaji wa misitu kutokana na umuhimu wake kwa jamii.
Akizindua wimbo huo pamoja na video yake, mjumbe wa Kikosi cha Taifa cha Mkulumi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMJUMITA WAZINDUA WIMBO WA MKUHUMI ULIOIMBWA NA MPOTO, AFANDE SELE NA DAYNA
Hayo yalisema jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa wimbo maalum wa kuhamasisha utunzaji wa mazingira uliojulikana kama ‘Mkuhumi’.
Wimbo huo ulioimbwa na wanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, Dayna Nyange pamoja na msanii nguli wa kughani mashairi Afrika Mashariki, Mrisho Mpoto maarufu kama ‘Mjomba’.
Akizungumza kwenye...
11 years ago
GPLMASKINI AFANDE SELE
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele
10 years ago
GPLAFANDE SELE ANASWA NA DEMU MPYA
11 years ago
Michuzi04 Mar
introducing 'MWENDO WA KASI' BY AFANDE SELE
10 years ago
GPLDADA WA AFANDE SELE AFIA GESTI
10 years ago
GPLMKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPLMKE WA AFANDE SELE AZIKWA MOROGORO
10 years ago
GPLAFANDE SELE AZIMIA AKIMZIKA MKEWE!