Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afariki baada ya kukanyagwa na gari la mamake

Mtoto mwenye umri wa miaka sita amefariki baada ya kukanywagwa na gari la mamake aliyekuwa analiegesha mjini London

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MBARALI

MTEMBEA KWA MIGUU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA JOFREY MWIDINDA (28) MKAZI MBUYUNI AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI IT 3818 AINA YA TOYOTA COROLA LILILOKUWA LIKIENDESHWANA FRANK NDEGA (30) MKAZI WA SINZA JIJINI DSM. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 30.04.2014 MAJIRA YA SAA 06:30 ASUBUHI HUKO KATIKA KIJIJI CHA MBUYUNI, KATA YA MAPOGORO, TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA...

 

10 years ago

Michuzi

DEREVA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI ALILOKUWA AKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA WILAYANI MBOZI,MBEYA

Dereva aliyekuwa akiendesha gari lenye namba za usajili T.910 CYF aina ya Toyota Noah aliyetambulika kwa jina la Stanford Luenje (30) mkazi wa mbozi alifariki dunia baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka huko eneo la Mlowo Wilayani Mbozi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 01:30 huko eneo la mlowo, kata ya mlowo, tarafa ya vwawa, wilaya ya mbozi, mkoa wa mbeya katika barabara kuu ya mbeya/tunduma.
Aidha katika ajali hiyo watu wawili waliofahamika kwa majina ya  1....

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa


Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.

 

10 years ago

CloudsFM

AFARIKI AKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI

Polisi mkoani Kagera inachunguza kifo cha mmiliki wa ukumbi wa klabu ya usiku ya Linas Night, Leonard Mtensa (50) ambaye inadaiwa alifariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye gari lake.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, ambaye alikuwa na mpenzi wake kwenye gari maeneo ya Buyekera, alifariki dunia kabla ya kufikishwa kituo cha afya cha ELCT Ndolage.

Alisema binti waliyekuwa naye kwenye gari anatokea mkoani Mara na kwamba tukio hilo lilitokea usiku wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Trafiki aliyegongwa na gari afariki dunia

Aligongwa na daladala linalofanya safari zake kati ya Temeke na Kongowe alipokuwa akiyaongoza magari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afariki akizuia gari zisikanyage maiti

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi akiwamo Emmanuel Ndahani (39) mkazi wa Kibamba, aliyegongwa na gari na kufariki dunia alipokuwa akiweka alama za matawi kuzuia gari zisikanyage...

 

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia leo alfajiri kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha.

 

11 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MOMBA.

MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA BAKARI DAMSON(27) MKAZI WA MAJENGO AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI ADC 3671 AINA YA TOYOTA LAND CRUISER LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA FRANK MATHEW SIKONGA (29) MKAZI WA CHIPAKA.
TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 15.07.2014MAJIRA YA SAA 22:00 USIKU HUKO KATIKA MTAA WA MWAKA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA. CHANZO CHA AJALI BADO KINACHUNGUZWA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KITUO CHA...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari kijiji iliyotokea cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali.
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAAARIFA ZAIDI
CHANZO: TBC TV

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani