Afya yamzuia Tamar Braxton kutumbuiza na Diamond, AKA, Mary J Blige, Dec 12, Johannesburg
Muimbaji wa Marekani, Tamar Braxton hatoweza tena kutumbuiza December 12 kwenye BET Experience Africa jijini Johannesburg kutokana na afya yake kutomruhusu.
Ilibainika mapema mwezi huu kuwa muimbaji huyo alikuwa na ‘blood clots’ kwenye mapafu yake baada ya kushiriki kwenye kipindi cha TV, Dancing with the Stars.
Baada ya kulazwa, Braxton alilazimika kujiondoa kwenye show hiyo na kuahirisha ziara zake za muziki alizokuwa amepanga kufanya.
Wasanii waliobaki kwenye BET Experience Africa ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Diamond kuungana na Tamar Braxton, Maxwell, Flavour na wengine kwenye BET Experience Africa, Dec 12
9 years ago
Bongo527 Nov
Mary J. Blige aungana na Diamond, Young Thug, AKA, Flavour na wengine kwenye tamasha la ‘BET Experience Africa’
![mary J](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mary-J-300x194.jpg)
Orodha ya wasanii wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye tamasha la la BET Experience Africa linalotarajiwa kufanyika December 12, 2015 jijini Johannesburg, Afrika Kusini inazidi kuongezeka.
Muimbaji mkongwe wa Rnb na mshindi wa tuzo ya Grammy, Mary J Blige kutoka Marekani metangazwa kuungana na wasanii wengine waliokuwa wameishatajwa akiwemo staa wetu Diamond Platnumz.
Miongoni mwa hit songs za Mary J. Blige ni pamoja na ‘Family Affair’, ‘No More Drama’ pamoja na ‘Be Without You’.
Wasanii...
9 years ago
Bongo503 Nov
Young Thug kuungana na Diamond, Tamar Braxton, Maxwell na wengine kwenye tamasha la ‘BET Experience Africa’
![thug](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/thug-300x194.png)
BET wamemwongeza rapper Young Thug wa Marekani, kwenye orodha ndefu ya wasanii wa kimataifa na kutoka Afrika watakaotumbuiza kwenye tamasha la ‘BET Experience Africa’ lililopangwa kufanyika December 12, jijini Johannesburg, Afrika kusini.
Rapper huyo ataungana na wasanii wengine waliokuwa tayari wametangazwa kutumbuiza akiwemo Diamond Platnumz, Tamar Braxton, Maxwell, Flavour na Aka.
Diamond ndiye msanii pekee wa Afrika mashariki aliyetajwa kutumbuiza kwenye tamasha hilo hadi sasa. ...
9 years ago
Bongo518 Sep
Video: Tamar Braxton – Angels & Demons
11 years ago
GPL22 Jun
10 years ago
Bongo516 Mar
New Video: Mary J. Blige — Doubt
10 years ago
GPL06 Sep
9 years ago
Bongo504 Nov
Vanessa Mdee, Wizkid, Davido, AKA, Flavour na wengine kutumbuiza South Nov 21
![11379892_931151246960569_1101213556_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11379892_931151246960569_1101213556_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee aka Vee Money anatarajia kutumbuiza wimbo wake mpya ‘Never Ever’ na zingine kwenye jukwaa kubwa zaidi la muziki wa Afrika jijini Johannesburg, Afrika Kusini, Nov 21.
Tamasha hilo lililopewa jina la African Music Concert litawakutanisha karibu wasanii wote wakubwa wa Afrika.
Pamoja na Vanessa Mdee, wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama do bling na Bucie.
Wengine ni Da LES, Darley, Anatii, Emmy Gee, The...