Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahadi ya kutomaliza tatizo la umeme yamuumiza kichwa JK

Rais Jakaya Kikwete amesema wakati anaingia madarakani alianza na tatizo la mgawo wa umeme na sasa anaondoka nalo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kodi ya Zimamoto yamuumiza kichwa Malima

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima, amesema suala la ukusanyaji wa kodi inayotozwa na Jeshi la Zimamoto linamuumiza kichwa kwa madai kuwa hawatoi huduma stahiki kwa wananchi wanaowatoza fedha. Malima...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Donald Mwakamele: Umeme si kitu cha kusumbua kichwa miaka yote

HAKUNA asiyefahamu kuwa uchumi wa nchi unategemea suala zima la upatikanaji wa umeme wa uhakika. Hivyo kila kukicha wataalamu mbalimbali wa masuala ya umeme wamekuwa wakitoa maoni yao nini kifanyike,...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme tatizo Tanga

 Baadhi ya kampuni na wamiliki wa viwanda mkoani Tanga, wameingiwa na hofu ya kupungua kwa kasi ya uzalishaji wa bidhaa za viwandani, kufuatia kutokuwepo umeme wa uhakika na ukataji holela wa huduma hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

'Tatizo la umeme ni la muda mfupi'

SERIKALI imesema tatizo la kukatika kwa umeme ni la muda mfupi na kwamba linafanyiwa kazi kupata ufumbuzi wa kudumu.

 

9 years ago

Mwananchi

Nani wa kupambana na tatizo la umeme?

Tangu nchi yetu ipate uhuru zaidi ya miaka 50, kuna nyimbo zimekuwa zikiimbwa kila uchao na viongozi wa kada mbalimbali, ukiwamo ule wa ‘kukosa umeme wa uhakika’.

 

9 years ago

Mwananchi

Tatizo la umeme nchini lawa kizungumkuti

Uwezo wa kuzalisha umeme kwenye vituo vya Nyumba ya Mungu, Hale na New Pangani Falls nchini umeshuka kutoka asilimia 100 hadi kufikia 15 kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya baadhi ya wananchi kuchepusha mkondo wa maji wa Mto Pangani ambao ni tegemeo kubwa kwa uzalishaji wa vituo hivyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

10 years ago

Habarileo

Tatizo la umeme Dar kuwa historia

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesisitiza kwamba ifikapo Agosti mwakani, hakutakuwa na tatizo la umeme katika Jiji la Dar es Salaam. Pia, limesema taasisi ambazo zilikuwa miongoni mwa wadaiwa sugu, zimeendelea kulipa na kulifanya liendelee vizuri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani