Tatizo la umeme nchini lawa kizungumkuti
Uwezo wa kuzalisha umeme kwenye vituo vya Nyumba ya Mungu, Hale na New Pangani Falls nchini umeshuka kutoka asilimia 100 hadi kufikia 15 kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya baadhi ya wananchi kuchepusha mkondo wa maji wa Mto Pangani ambao ni tegemeo kubwa kwa uzalishaji wa vituo hivyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Aug
Jotoardhi kupunguza tatizo la umeme nchini
![PICHA 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/PICHA-2.jpg)
![PICHA 3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/PICHA-3.jpg)
![PICHA 4](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/PICHA-4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BeNkWxIhh6M/VccITpxHrRI/AAAAAAAHvac/0qpJSVtf0Ig/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
JOTOARDHI KUPUNGUZA TATIZO LA UMEME NCHINI - WATAALAMU
Na Benedict Liwenga, Maelezo-MbeyaKutokana na ongezeko la mahitaji ya nishati ya umeme nchini, nishati ya jotoardhi imetajwa kuwa ni muhimu kwa kuwa itaisaidia Tanzania kuondokana na tatizo la umeme usiokuwa na uhakika pamoja na kupunguza gharama kubwa zitokanazo na matumizi ya mitambo ya uzalishaji umeme yenye kutumia mafuta. Kauli hiyo imetolewa 8 Agosti, 2015 na Mjiolojia Mkuu toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla wakati wa Kampeni endelevu ya kuelimisha umma kuhusu...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-BeNkWxIhh6M/VccITpxHrRI/AAAAAAAHvac/0qpJSVtf0Ig/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
WATAALAMU - JOTOARDHI KUPUNGUZA TATIZO LA UMEME NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-BeNkWxIhh6M/VccITpxHrRI/AAAAAAAHvac/0qpJSVtf0Ig/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WsF8yZ7N54c/VccITbpPXxI/AAAAAAAHvaY/IwIMhzCE-Wc/s640/unnamed%2B%252849%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QA_uPbiGfE4/VccITivNFCI/AAAAAAAHvag/HSRE3wLWGQk/s640/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aNcalT9xN5w/Voobc6j-2YI/AAAAAAAIQIE/IwHjoAYGM2A/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
WIZARA TATU ZASHAURIWA KUSHIRIKIANA KUMALIZA TATIZO LA KUKAUKA NA KUPUNGU KWA MAJI MABWAWA YA KUZALISHA UMEME NCHINI
Picha za mitambo ya kuzalisha umeme na wadau wa maji waliotembelea maeneo ya mito na kugundua baadhi ya njia za asili za mito inayomwaga maji yake kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme imezibwa. kitendo hicho kinadaiwa kuathiri utiririshaji wa maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme.
pia wadau hao wameshauri taasisi zote ikiwemo wizara ya nishati na madini,wizara ya kilimo , mifugo na uvuvi, wizara ya maji na umwagiliaji pamoja na bonde la mto Rufiji zinazotumia rasilimali maji katika...
pia wadau hao wameshauri taasisi zote ikiwemo wizara ya nishati na madini,wizara ya kilimo , mifugo na uvuvi, wizara ya maji na umwagiliaji pamoja na bonde la mto Rufiji zinazotumia rasilimali maji katika...
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Kizungumkuti cha tatizo la ardhi Afrika ya Kusini
Licha ya hayo, serikali yake ya Chama cha African National Congress (ANC), inabidi sasa ilipatie ufumbuzi suala gumu la umilikaji ardhi.
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tanesco-16Sept2015.png)
Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Umeme tatizo Tanga
 Baadhi ya kampuni na wamiliki wa viwanda mkoani Tanga, wameingiwa na hofu ya kupungua kwa kasi ya uzalishaji wa bidhaa za viwandani, kufuatia kutokuwepo umeme wa uhakika na ukataji holela wa huduma hiyo.
9 years ago
Habarileo09 Oct
'Tatizo la umeme ni la muda mfupi'
SERIKALI imesema tatizo la kukatika kwa umeme ni la muda mfupi na kwamba linafanyiwa kazi kupata ufumbuzi wa kudumu.
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Nani wa kupambana na tatizo la umeme?
Tangu nchi yetu ipate uhuru zaidi ya miaka 50, kuna nyimbo zimekuwa zikiimbwa kila uchao na viongozi wa kada mbalimbali, ukiwamo ule wa ‘kukosa umeme wa uhakika’.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania