Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jotoardhi kupunguza tatizo la umeme nchini

PICHA 1

Mkurugenzi Mkuu anaeshughulikia masula ya Ufundi wa Kampuni ya Uendelezaji Nishati ya Jotoardhi (TGDC), Bwana, Taramaeli Mnjokava akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Swaya Mjini kuhusu faida za jotoardhi mapema 8 Agosti, 2015 mkoania Mbeya. PICHA 2 PICHA 3 Mjiolojia Mkuu toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla akiwaeleza Viongozi wa Kata ya Swaya Mjini kuhusu historia ya nishati ya jotoardhi kuanza kufanyika hapa nchini miaka ya 1976 hadi 1978 mapema 8 Agosti, 2015 mkoania Mbeya. PICHA 4 Afisa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATAALAMU - JOTOARDHI KUPUNGUZA TATIZO LA UMEME NCHINI

Mkurugeniz Mkuu anaeshughulikia masula ya Ufundi wa Kampuni ya Uendelezaji Nishati ya Jotoardhi (TGDC), Bwana, Taramaeli Mnjokava akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Swaya Mjini kuhusu faida za jotoardhi mapema 8 Agosti, 2015 mkoani Mbeya.Mjiolojia Mkuu toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla akiwaeleza Viongozi wa Kata ya Swaya Mjini kuhusu historia ya nishati ya jotoardhi kuanza kufanyika hapa nchini miaka ya 1976 hadi 1978 mapema 8 Agosti, 2015 mkoania Mbeya.
Afisa Sayansi ya...

 

10 years ago

Michuzi

JOTOARDHI KUPUNGUZA TATIZO LA UMEME NCHINI - WATAALAMU

Na Benedict Liwenga, Maelezo-MbeyaKutokana na ongezeko la mahitaji ya nishati ya umeme nchini, nishati ya jotoardhi imetajwa kuwa ni muhimu kwa kuwa itaisaidia Tanzania kuondokana na tatizo la umeme usiokuwa na uhakika pamoja na kupunguza gharama kubwa zitokanazo na matumizi ya mitambo ya uzalishaji umeme yenye kutumia mafuta.  Kauli hiyo imetolewa 8 Agosti, 2015 na Mjiolojia Mkuu toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla wakati wa Kampeni endelevu ya kuelimisha umma kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA UENDELEZAJI JOTOARDHI HAPA NCHINI YATOA ELIMU YA NISHATI YA JOTOARDHI KWA WAKAZI WA KISAKI, MOROGORO VIJIJINI

 Mkurugenzi  wa Mipango na Maendeleo ya Biashara, Mhandisi Kato Kabaka (aliyesimama), kutoka Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania akitoa elimu kwa wananchi wa kata ya Kisaki wilaya ya Morogoro Vijijini namna ya kutafiti nishati ya Jotoardhi hadi hatua ya kuzalisha umeme na jinsi itakavyoweza kubadili maisha ya wananchi wa kata hiyo.Wananchi wa kata ya Kisaki, Morogoro Vijijini wakimsikiliza kwa makini Bi. Eva Nyantori, Afisa Sayansi ya Jamii kutoka Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi...

 

9 years ago

Mwananchi

Tatizo la umeme nchini lawa kizungumkuti

Uwezo wa kuzalisha umeme kwenye vituo vya Nyumba ya Mungu, Hale na New Pangani Falls nchini umeshuka kutoka asilimia 100 hadi kufikia 15 kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya baadhi ya wananchi kuchepusha mkondo wa maji wa Mto Pangani ambao ni tegemeo kubwa kwa uzalishaji wa vituo hivyo.

 

9 years ago

Michuzi

TGDC NA MKAKATI WA UZALISHAJI WA UMEME KUPITIA JOTOARDHI

 Meneja Mkuu Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi Boniface Njombe (kushoto) pamoja na Mtaalamu Mkuu toka Kampuni ya TOSHIBA Bwana Kentaro Kurahara wakiweka saini Mkataba wa wa Maelewano (MOU) wa kufanya tafiti kwa pamoja zinahusu maeneo yenye viashiria ya upatikanaji wa nishati ya jotoardhi katika Ofisi za TGDC zilizopo Jijini Dar es Salaam. Meneja Mkuu Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi Boniface Njombe (kushoto)...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA TATU ZASHAURIWA KUSHIRIKIANA KUMALIZA TATIZO LA KUKAUKA NA KUPUNGU KWA MAJI MABWAWA YA KUZALISHA UMEME NCHINI

Picha za mitambo ya kuzalisha umeme na  wadau wa maji waliotembelea maeneo ya mito na kugundua baadhi ya njia za asili za  mito inayomwaga maji yake kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme imezibwa.  kitendo hicho kinadaiwa kuathiri utiririshaji wa maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme.
 pia wadau hao wameshauri taasisi zote ikiwemo wizara ya nishati na madini,wizara ya kilimo , mifugo na uvuvi, wizara ya maji na umwagiliaji pamoja na bonde la mto Rufiji  zinazotumia rasilimali maji katika...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna mkakati thabiti wa kupunguza tatizo la Machinga

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, juzi alitoa siku mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo, wanaojulikana zaidi kwa jina la Machinga, kubomoa mabanda yao eneo la Jangwani, Dar es Salaam kwa maelezo kuwa ofisi yake haijatenga sehemu hiyo kwa ajili ya biashara.

 

9 years ago

Mwananchi

SHERIA NGOWI : Nitaisaidia Serikali kupunguza tatizo la ajira

Ni nembo iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani. Imewahi kuvaliwa na watu maarufu wakiwamo Rais Jakaya Kikwete pamoja na rais Edgar Lungu wa Zambia, si ajabu kusikia nembo hii ikivalisha mawaziri na hata Rais mpya wa nchi hii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani