Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme tatizo Tanga

 Baadhi ya kampuni na wamiliki wa viwanda mkoani Tanga, wameingiwa na hofu ya kupungua kwa kasi ya uzalishaji wa bidhaa za viwandani, kufuatia kutokuwepo umeme wa uhakika na ukataji holela wa huduma hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

9 years ago

Habarileo

'Tatizo la umeme ni la muda mfupi'

SERIKALI imesema tatizo la kukatika kwa umeme ni la muda mfupi na kwamba linafanyiwa kazi kupata ufumbuzi wa kudumu.

 

9 years ago

Mwananchi

Nani wa kupambana na tatizo la umeme?

Tangu nchi yetu ipate uhuru zaidi ya miaka 50, kuna nyimbo zimekuwa zikiimbwa kila uchao na viongozi wa kada mbalimbali, ukiwamo ule wa ‘kukosa umeme wa uhakika’.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

9 years ago

Mwananchi

Tatizo la umeme nchini lawa kizungumkuti

Uwezo wa kuzalisha umeme kwenye vituo vya Nyumba ya Mungu, Hale na New Pangani Falls nchini umeshuka kutoka asilimia 100 hadi kufikia 15 kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya baadhi ya wananchi kuchepusha mkondo wa maji wa Mto Pangani ambao ni tegemeo kubwa kwa uzalishaji wa vituo hivyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jotoardhi kupunguza tatizo la umeme nchini

PICHA 1

Mkurugenzi Mkuu anaeshughulikia masula ya Ufundi wa Kampuni ya Uendelezaji Nishati ya Jotoardhi (TGDC), Bwana, Taramaeli Mnjokava akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Swaya Mjini kuhusu faida za jotoardhi mapema 8 Agosti, 2015 mkoania Mbeya. PICHA 2 PICHA 3 Mjiolojia Mkuu toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla akiwaeleza Viongozi wa Kata ya Swaya Mjini kuhusu historia ya nishati ya jotoardhi kuanza kufanyika hapa nchini miaka ya 1976 hadi 1978 mapema 8 Agosti, 2015 mkoania Mbeya. PICHA 4 Afisa...

 

10 years ago

Habarileo

Tatizo la umeme Dar kuwa historia

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesisitiza kwamba ifikapo Agosti mwakani, hakutakuwa na tatizo la umeme katika Jiji la Dar es Salaam. Pia, limesema taasisi ambazo zilikuwa miongoni mwa wadaiwa sugu, zimeendelea kulipa na kulifanya liendelee vizuri.

 

10 years ago

Michuzi

Tatizo la mgawo wa umeme Arusha kumalizika Juni

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Singida, Martha Mlata (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Dkt. Miganda Manyahi (kulia), jijini Arusha kabla ya kuanza kwa ziara kwenye miradi ya umeme. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini inafanya ziara katika miradi ya umeme iliyopo katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ili kujionea hatua ya utekelezwaji wake pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

JOTOARDHI KUPUNGUZA TATIZO LA UMEME NCHINI - WATAALAMU

Na Benedict Liwenga, Maelezo-MbeyaKutokana na ongezeko la mahitaji ya nishati ya umeme nchini, nishati ya jotoardhi imetajwa kuwa ni muhimu kwa kuwa itaisaidia Tanzania kuondokana na tatizo la umeme usiokuwa na uhakika pamoja na kupunguza gharama kubwa zitokanazo na matumizi ya mitambo ya uzalishaji umeme yenye kutumia mafuta.  Kauli hiyo imetolewa 8 Agosti, 2015 na Mjiolojia Mkuu toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla wakati wa Kampeni endelevu ya kuelimisha umma kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani