Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAZINDUA MNARA NYAKASUNGWA SENGEREMA, MWANZA NA GEITA

Afisa Elimu wa Wilaya ya Sengerema Benjamin Sipetro akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Airtel katika kijiji cha Nyakasungwa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wa tatu kulia ni Meneja masoko kanda ya ziwa Emmamuel Rafael.
Afisa Elimu wa Wilaya ya Sengerema Benjamin Sipetro AKIKABIDHI VITABU VYA MASOMO YA SAYANSI katika shule ya sekondari ya Nyakasungwa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza,wa tatu kulia ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua Mnara wa Mawasiliano Mbulu Mkoani Manyara


 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mbulu Joseph Geheri akikata  utepe wakati wa uzinduzi wa Mnara wa  huduma za Mawasiliano  katika kijiji cha Aicho wilayani Mbulu Mkoani Manyara ambapo sasa wakazi wa kijiji hicho na jijini vya jirani wameunganishwa na huduma za simu za  mkononi za Airtel. Akishuhudia ni Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brightone Majwala   pamoja na wakazi wa Kijiji  hichoMeneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brightone Majwala  akiwa na Kaimu Mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua Mnara wa Mawasiliano wilaya ya Ikungi, Singida

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua mnara wa mawasiliano katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida ambao utasaidia upatikanaji wa mawasiliano na pia kuboresha ubora wa mtandao kwa wakazi wa wilayani hapo na maeneo ya jirani.
Meneja wa kanda ya kati wa Airtel, Bwana Stephen Akyoo, alisema Mnara huo mpya wa mawasilino ni moja kati ya mikakati ya kampuni yake kujitanua zaidi na kuboresha mtandao wa mawasiliano, huku wakiendelea kuangalia namna ya kuendelea kufanya huduma zao kuwa za...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua mnara wa mawasiliano Mazinde wilaya ya Korogwe

Katika juhudu zake za kuhakikisha watanzania waishio mjini na vijiji wanapata huduma bora za mawasiliano , kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua mnara wa mawasiliano katika kata ya mazinde wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
Uzinduzi huo wa mnara wa mawasiliano utawahakikishia wakazi wa Mazinde na vijiji vya jirani mawasiliano ya uhakika katika kuendesha shughuli zao za kijamii na kiuchumi kila siku ikiwemo kilimo cha katani.
Akiongea wakati wa uzinduzi, Mkuu wa wilaya ya Korogwe,...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO WILAYA YA IKUNGI SINGIDA‏

Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa mnara wa airtel Omar Hassan Mgisa Diwani wa kata ya Mwaru akikata utepe wakati wa uzinduzi wamnara wa airtel katika kijiji cha mwaru wilayani ikungi mkoani Singida jana wakati wa uzinduzi wa mnara huo. Katikati ni Meneja wa kampuni ya Airtel kanda ya kati bwana Martin Kilasara, akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Omary Hassan Mgisa Diwani wa kata ya Mwaru tarafa ya sepuka Wilayani Ikungi Singida Wakati...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepekuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtelkatika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha ,akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, BrightonMajwala. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala akitoa msaadawa vitabu  Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Singisi , HamadBoay , wakati wa uzinduzi wa huduma manara wa huduma za mawasiliano wakampuni ya simu za...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO MAZINDE WILAYA YA KOROGWE‏

Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa pili kulia)) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa kampuni ya simu za mkononi Airtel Kata ya Mazinde wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. anayeshuhudia kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Simu ya Airtel Kanda ya Kaskazini Aluta Kweka. Katika juhudu zake za kuhakikisha watanzania waishio mjini na vijiji wanapata huduma bora za mawasiliano , kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA‏

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha , akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala akitoa msaada wa vitabu Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Singisi , Hamad Boay , wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi kwa Wakazi wa Mwaza

Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari ( pichani hawapo) wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi jijini Mwanza, Promosheni ya Airtel yatosha inawawezesha wateja wa Airtel kujishindia gari Aina ya Toyota IST moja kila siku. kushoto Afisa Masoko wa Airtel Rebecca Mauma na Kulia ni Afisa Mauzo kanda ya Ziwa Emmanuel Raphael. Afisa Masoko wa Airtel Rebecca Mauma (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani