AIRTEL YAZINDUA RASMI MRADI WAKE WA KUBORESHA ELIMU
![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5Rmq64mT6vYaygAojOLQ1jNnyMbYt9DXmis1XJL70lqq1OI6LT590f3ynmR1XhQ4z5gcgirrb7iVobixIq1xmudxT/1.jpg?width=650)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu†kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mradi huu wa vitabu umeweza kufikia shule zaidi ya 1,000 toka ulipoanza miaka kumi iliyopita. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mkurugenzi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
SNV yazindua ushirikiano na FINCA kuanziasha mradi wa kuboresha maisha ya vijana 20500 waishio vijijini
Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA Tanzania, Bwana Gershom Mpangalah akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusaidia vijana wa OYE unaofanywa kati ya FINCA na shirika la maendeleo la SNV. Wanaotazama kutoka kushoto ni Mkuu wa Mradi OYE Upande wa Vijana Bwana Awadh Milas, Mkuu wa Miradi ya OYE Tanzania, Mozambique na Rwanda, Bwana Roy Van Der Drift na Mkurugenzi Mtendaji wa FINCA Bwana Ed Greenwood.
Na Mwandishi wetu
Shirika la Maendeleo la Kiholanzi SNV na...
10 years ago
GPLWORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA MRADI WA ELIMU KWA MTANDAO (E-LEARNING)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3X9Fs0BkuS6xKq-WJtTu6Uq29zwz0*-3rY6rdfnyCMC7mtolL4xRGHrdkTOMPhRxQ9f41ZHWaWCUEEIxxSXbgPi/IMG_7393.jpg)
AIRTEL YAZINDUA OFFA KABAMBE YA SMARTFONIKA KWA WATEJA WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEU39buL2S2*WihTRsfXKcuNT97oyR5HUKBB84pPL*hFTmV93I0*mG91RQGf9MCHoRpE0IgZaQ7TiL9zhan7GdTL/DSC_6938.jpg?width=650)
AIRTEL YAZINDUA WIKI YA RASILIMALI WATU KWA WAFANYAKAZI WAKE
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NHC yazindua mauzo ya nyumba katika mradi wake wa Kawe Jijini Dar es Salaam!
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Novemba 26, 2015 Jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba katika mradi mpya wa Seven Eleven (711) ulioko Kawe Jijini Dar es Salaam (kulia) Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiwaonesha waandishi wa habari...
10 years ago
Dewji Blog08 May
World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...
10 years ago
MichuziLAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE
11 years ago
GPLAIRTEL KUBORESHA MITAMBO YA HUDUMA YA AIRTEL MONEY MWISHONI MWA WIKI HII
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
SBL yazindua rasmi tuzo ya ubora wa thamani ya Monde Selection kwa wateja wake
Mkuu wa kitengo cha Kuhamasisha Masoko kwa wateja toka Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Alfa Mria akizungumza na wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager wakati wa uzinduzi rasmi wa tuzo ya ubora wathamaniya Monde Selection ambapo bia ya Serengeti Premium ya SBL imetuzwa medali ya dhahabu mwaka huu wa 2015. Sherehe ya kuzindua ushindi huo kwa wateja ilifanyika katika baa ya Toroka Uje iliyopo Kimara jijini Dar es salaam.
Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Anitha Msangi...