Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI HIZI ZITAISHA LINI?

Gari aina ya Toyota Hilux limetumbukia kwenye mtaro uliopo Sinza-Makaburini jijini Dar es Salaam baada ya dereva aliyekuwa akiliendesha gari hiyo kushindwa kulimudu. Pichani wasamaria wema wakishirikiana kulinasua gari hilo. (PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hivi kero za mvua zitaisha lini Dar?

Kwa kawaida mvua ni neema kutokana na faida nyingi inazoleta kwa jamii, hasa kwa nchi maskini kama Tanzania ambazo hutegemea sana kilimo ambacho hakijaendelezwa sana kiasi cha kuwa cha kisasa kwa sehemu kubwa ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Danadana hizi za viongozi hadi lini?

HIVI karibuni Umoja wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), walivamia ofisi ya Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai kuwa ameshindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

10 years ago

Mwananchi

Jinamizi la ajali za barabarani hadi lini? b Rajabu Kipango,Mwananchi

Kwa muda mrefu sasa maisha ya Watanzania wengi yamekuwa yakipotea na wengine wakibaki na ulemavu wa kudumu kutokana na ajali za barabara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumeshitushwa na ajali hizi

WIKI hii zimetokea ajali kubwa mbili za barabarani ambazo zimepoteza zaidi ya watu 30 ndani ya saa 24. Ajali ya kwanza ilitokea juzi na kusababisha vifo vya wanawake 13 waliokuwa...

 

11 years ago

GPL

AJALI HIZI ZINAEPUKIKA!

HABARI za leo wapendwa wasomaji. Ni matumaini yangu kuwa Mwenyezi Mungu ameendelea kuwa upande wetu kama ilivyo siku zote. Ni faraja sana kuona kila jambo zuri au baya, limetokea kutokana na karama yake. Raia wakishuhudia sehemu kubwa ya basi iliyotoka nje kutokana na ajali na kusababisha vifo. Ninapenda kwa mara nyingine, kuchukua fursa hii kuwashauri kuendelea kuamini katika Mungu, kwani kwake yeye, kila jambo linawezekana,...

 

10 years ago

GPL

AJALI HIZI, KUNA KITU

Ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Nganga na Fuso yakiwaka moto. KWANZA kabisa tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai, hakika yeye anastahili kuabudiwa kila siku.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kuwataka wasomaji wangu kutafakari kwa kina hizi ajali za mabasi zinazotokea mara kwa mara katika barabara za nchi yetu. Kwa muda wa siku zisizozidi kumi na nane zimetokea ajali mbaya tatu za mabasi na kusababisha Watanzania wenzetu zaidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyezi Mungu utunusuru Watanzania na ajali hizi

> ‘Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wetu wote wapumzike kwa amani.’ Amina.

 

9 years ago

Mwananchi

Tuepuke ajali hizi kipindi cha lala salama cha kampeni

Vyombo mbalimbali vya habari nchini jana vilisheheni habari ya vifo vya watu wanne akiwamo aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Deo Filikunjombe. Vifo hivyo vilitokana na ajali ya helikopta iliyoanguka kwenye mbuga ya Selous Alhamisi usiku, walipokuwa safarini wakitoka Dar es Salaam kwenda Ludewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani