Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI MKOANI PWANI

AJALI hii ilitokea jana jirani na eneo la Hospitali ya Zinga Bagamoyo mkoani Pwani ambayo iliyahusisha magari mawili madogo na pikipiki. (Picha na Global Whatsapp 0753 715 779)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari kijiji iliyotokea cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali.
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAAARIFA ZAIDI
CHANZO: TBC TV

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali 1,400 zaripotiwa Pwani

JUMLA ya ajali 1,452 zimeripotiwa kutoka mkoani Pwani katika kipindi cha mwaka 2013 huku zilizosababisha vifo ni 240. Akitoa taarifa ya mwaka, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei, alisema...

 

10 years ago

GPL

AJALI MBILI ZATOKEA WILAYA YA BAGAMOYO, PWANI

Mwonekano wa mbele wa gari hilo. Lori la Scania T 986 likiwa limeanguka mbele kidogo  ya eneo la Msata, barabara ya kuelekea Tanga na Arusha.…

 

10 years ago

GPL

WANNE WAFA WAKIHOFIA KUTOKEA AJALI HUKO PWANI

WATU wanne wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Abiria la Hajees likitokea Tanga kwenda Dar es Salaam na lori katika eneo la Mandera Mkoani Pwani leo asubuhi. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, SACP Ulrich Matei amesema kuwa abiria hao waliruka kutoka katika basi hilo kuhofia ajali ya kugongana na lori lililokuwa likitokea mbele ya basi hilo na ndipo...

 

10 years ago

Michuzi

WAETHIOPIA 48 WAKAMATWA MKOANI PWANI

Na John Gagarini, Kibaha
JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia raia 48 wa nchi ya Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila ya kibali.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha Kaimu kamanda wa Polisi mkoani humo, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Athuman Mwambalaswa alisema kuwa watuhumiwa hao walitelekezwa vichakani.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 21 mwaka huu majira ya saa 7 usiku katika Kijiji cha Visakazi Ubena Zomozi tarafa ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KINANA MKOANI PWANI

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikaribishwa wilayani Kisarawe, kuendelea na ziara yake mkoani Pwani ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kushauriana nao jinsi ya kuzitatua.

 

10 years ago

Michuzi

WANNE WAFA AJALAINI MKOANI PWANI

Na John Gagarini,Globu ya Jamii KibahaWATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Ulrich Matei alisema kuwa watu hao walikuwa wakimpeleka mgonjwa hospitali.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 5 mwaka huu majira ya saa 6:30 mchana huko eneo la Fukayosi Tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.
Alisema kuwa ajali hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Raia wa Ethiopia afariki dunia mkoani Pwani

Na John Gagarini, Kibaha
RAIA wa nchi ya Ethiopia Dawita Alalo (25) amekufa alipokuwa akipatiwa matibabu kwenye kituo cha afya cha Chalinze kata ya Bwiringu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Marehemu alikuwa ni kati ya raia 48 wa nchi hiyo walikamatwa wakiwa kwenye msitu wa kijiji cha Visakazi Ubena Zomozi tarafa ya Chalinze Agosti 22 mwaka huu, baada ya kuingia nchini bila ya kibali.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha kaimu kamanda wa polisi mkoani humo Mrakibu...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT :BASI LA KAMPUNI YA GAMET LAPATA AJALI KIBITI-MKOA WA PWANI

Taarifa zilizoifikia Globu ya Jamii hivi punde kutoka chanzo cha kuaminika,zinaeleza kuwa Basi la kampuni ya GAMET Transport limepata ajali maeneo ya Kibiti wilaya ya Rufiji-Utete mkoa wa Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu anayedaiwa kuwa na tatizo la akili,lakini kwa bahati mbaya likamgonga na kufariki papo hapo,taarifa zaidi zinaeleza kuwa baada ya ajali hiyo basi hilo liliacha njia na kupinduka na kupelekea kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine waliokuwemo ndani ya basi hilo (idadi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani