WANNE WAFA AJALAINI MKOANI PWANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-eqB-QE2cB-o/VKuQkjhMBLI/AAAAAAAG7ow/Whmujh8WivE/s72-c/image061%2B(1).jpg)
Na John Gagarini,Globu ya Jamii KibahaWATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Ulrich Matei alisema kuwa watu hao walikuwa wakimpeleka mgonjwa hospitali.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 5 mwaka huu majira ya saa 6:30 mchana huko eneo la Fukayosi Tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.
Alisema kuwa ajali hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWANNE WAFA WAKIHOFIA KUTOKEA AJALI HUKO PWANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kYLfWN4-a0awc2SwQD4Dbk1wTf-rt7vs0*kBHFZifWAES8WS3DT*QIPOkARHU7TQUWKH9dGm1SlWYoP-KVV2*JPXTgoDgNYA/BREAKINGNEWS.gif)
WANNE WAFA AJALINI IRINGA
11 years ago
Habarileo29 Mar
Wanne wasombwa na maji ya mvua, wafa
WATU wanne wamekufa na miili yao kukutwa ikielea kwenye maji katika kata ya Nyangao wilayani Lindi mkoani humo.
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Wanne wafa Tabora katika mapigano
WATU wanne wamefariki dunia kutokana na mapigano ya wakulima na wafugaji, na wengine tisa kujeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Wilaya Igunga, mkoani Tabora. Akizungumza na waandishi wa habari juzi,...
11 years ago
Habarileo11 Dec
Wanne Moro wafa katika matukio tofauti
WATU wanne wamekufa na watano kujeruhiwa mkoani Morogoro katika ajali tofauti ikiwemo ya watoto wawili kufa baada ya nyumba waliokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa Kaimu kamanda John Laswai tukio hilo lilitokea Desemba 7 saa 4 usiku katika maeneo ya Mbuga Tarafa ya Ulanga Wilayani Uranga Mkoani hapa.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa
WATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.
11 years ago
Habarileo27 Dec
Watu saba wafa Njombe, Pwani
WATU saba wamekufa katika mikoa ya Njombe na Pwani katika ajali za gari na mtoto kutumbukia kwenye ndoo.
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Wahamiaji 40 wafa maji pwani ya Italy
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
Wakimbizi wengi wafa maji pwani Libya