Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanne wafa Tabora katika mapigano

WATU wanne wamefariki dunia kutokana na mapigano ya wakulima na wafugaji, na wengine tisa kujeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Wilaya Igunga, mkoani Tabora. Akizungumza na waandishi wa habari juzi,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanne Moro wafa katika matukio tofauti

WATU wanne wamekufa na watano kujeruhiwa mkoani Morogoro katika ajali tofauti ikiwemo ya watoto wawili kufa baada ya nyumba waliokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa Kaimu kamanda John Laswai tukio hilo lilitokea Desemba 7 saa 4 usiku katika maeneo ya Mbuga Tarafa ya Ulanga Wilayani Uranga Mkoani hapa.

 

10 years ago

GPL

WANNE WAFA AJALINI IRINGA

Zaidi ya watu 4 wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi la abiria kutoka Mbeya kwenda Dodoma kugongana na Lori katika kijiji cha Ibetelo eneo la Nyororo wilayani Mufindi mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi Mkoani Iringa Ramadhani Mungi amesema kuwa ajali hiyo imetokea majira ya saa 4.45 asubuhi na kuhusisha basi mali ya kampuni ya Fanuel Express  yenye namba za usajili T919 kugongana uso kwa uso na lori lenye namba za...

 

11 years ago

Habarileo

Wanne wasombwa na maji ya mvua, wafa

WATU wanne wamekufa na miili yao kukutwa ikielea kwenye maji katika kata ya Nyangao wilayani Lindi mkoani humo.

 

10 years ago

Michuzi

WANNE WAFA AJALAINI MKOANI PWANI

Na John Gagarini,Globu ya Jamii KibahaWATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Ulrich Matei alisema kuwa watu hao walikuwa wakimpeleka mgonjwa hospitali.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 5 mwaka huu majira ya saa 6:30 mchana huko eneo la Fukayosi Tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.
Alisema kuwa ajali hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elias TarimoWATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.

 

10 years ago

GPL

WANNE WAFA WAKIHOFIA KUTOKEA AJALI HUKO PWANI

WATU wanne wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Abiria la Hajees likitokea Tanga kwenda Dar es Salaam na lori katika eneo la Mandera Mkoani Pwani leo asubuhi. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, SACP Ulrich Matei amesema kuwa abiria hao waliruka kutoka katika basi hilo kuhofia ajali ya kugongana na lori lililokuwa likitokea mbele ya basi hilo na ndipo...

 

11 years ago

BBCSwahili

10 wauawa katika mapigano Somalia

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika makabiliano kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji wanaounga mkono utawala wa muda wa eneo la Buulo Haawo

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 20 waua katika mapigano Bangui

Watu 20 wameripotiwa kufariki kufuatia mapigano makali yaliyoibuka mjini Bangui katika jamhuri ya Afrika ya Kati.

 

10 years ago

StarTV

Mmoja auawa katika mapigano Mombasa.

Waandamanaji walipora maduka na kuwarushia mawe polisi kupinga kupigwa risasi na kuuwawa kwa mtu anayeshukiwa kuwa mpiganaji Muislamu.

 
Polisi wanakanusha kuwa walihusiuka na mauaji hayo yaliyotokea Jumamosi ya Hassan Guti, ambaye alihusishwa na mauaji ya afisa mwandamizi wa polisi mwezi Agosti.

 
Inaarifiwa kuwa ghasia zilizuka Jumapili baada ya mazishi ya Bwana Guti.

 
Watu kadha wa msimamo mkali wa kidini wameuwawa mjini Mombasa katika miezi ya karibuni.

 
Kumetokea mashambulio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani