Mmoja auawa katika mapigano Mombasa.
Waandamanaji walipora maduka na kuwarushia mawe polisi kupinga kupigwa risasi na kuuwawa kwa mtu anayeshukiwa kuwa mpiganaji Muislamu.
Polisi wanakanusha kuwa walihusiuka na mauaji hayo yaliyotokea Jumamosi ya Hassan Guti, ambaye alihusishwa na mauaji ya afisa mwandamizi wa polisi mwezi Agosti.
Inaarifiwa kuwa ghasia zilizuka Jumapili baada ya mazishi ya Bwana Guti.
Watu kadha wa msimamo mkali wa kidini wameuwawa mjini Mombasa katika miezi ya karibuni.
Kumetokea mashambulio...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Mtu mmoja auawa katika maandamano Burundi
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Mhamiaji mmoja auawa katika kambi ya PNG
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Mhubiri wa kiisilamu auawa Mombasa
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Afisa wa upelelezi auawa Mombasa Kenya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZfKTftH0xy8L1-272ZBhkGvJT*1IikXLTfhMX08m3DWvjqROZyhmixElo-bCM7e3DhMPUEH4eq6AOt0-gavprVT/AHMED.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MOMBASA, KENYA
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mmoja Moro
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Sheikh Abubakar Makaburi auawa kwa kupigwa risasa Mombasa
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mtu mmoja, ng’ombe 71 Morogoro
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MTU mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa, akiwamo askari polisi mmoja baada ya kutokea mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Dihinda, Kata ya Kanga, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Dihinda, Hariri Kilama, alisema tukio hilo lilitokea Desemba 11, saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa Kilama, tukio hilo lilisababishwa na mfugaji mmoja aliyejulikana kwa jina...