Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhamiaji mmoja auawa katika kambi ya PNG

Wakimbizi wanaojaribu kutafuta hifadhi nchini Australia walizua vurugu na kukabiliana na maafisa wa usalama wa Papua New Guinea.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Mmoja auawa katika mapigano Mombasa.

Waandamanaji walipora maduka na kuwarushia mawe polisi kupinga kupigwa risasi na kuuwawa kwa mtu anayeshukiwa kuwa mpiganaji Muislamu.

 
Polisi wanakanusha kuwa walihusiuka na mauaji hayo yaliyotokea Jumamosi ya Hassan Guti, ambaye alihusishwa na mauaji ya afisa mwandamizi wa polisi mwezi Agosti.

 
Inaarifiwa kuwa ghasia zilizuka Jumapili baada ya mazishi ya Bwana Guti.

 
Watu kadha wa msimamo mkali wa kidini wameuwawa mjini Mombasa katika miezi ya karibuni.

 
Kumetokea mashambulio...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja auawa katika maandamano Burundi

Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi kufuatia ghasia kati ya polisi na waandamanaji mjini Bujumbura

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja auawa katika mapigano Cairo

Mtu mmoja auawa katika mapigano jijini Cairo nchini Misri

 

9 years ago

Mwananchi

Mmoja afariki, kambi ya kipindupindu yapungukiwa dawa

Wakati mtu mmoja akifariki dunia katika Manispaa ya Temeke kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, idadi ya wagonjwa waliolazwa imefikia 20.

 

9 years ago

Habarileo

Mmoja auawa,tisa wajeruhiwa Tarime

MTU mmoja ameuawa na wengine tisa wamejeruhiwa vibaya baada ya wafuasi wanaosadikiwa kuwa ni wa vyama vya Chadema na CCM kupambana katika kata ya Nyanungu, wilaya ya Tarime mkoani Mara.

 

11 years ago

Mwananchi

Waandishi wa kigeni washambuliwa, mmoja auawa

Waandishi wawili wa habari waliokuwa wakifanya kazi nchini Afghanistani wamepigwa risasi na mtu aliyekuwa amevalia sare za jeshi na kusababisha mmoja kufariki dunia huku mwingine akiwa katika hali mbaya hospitalini.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Betty baada ya kupigwa risasi leo asubuhi huko Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam ukiwa umesitiriwa kwa kufunikwa na khanga.Gari alilokuwa amepanda marehemu betty likiwa limedumbukia mtaroni kutokana na dereva wa gari hilo mali ya kampuni ya ulinzi ya Tunu kupigwa risasi ya mkono mara baada ya kukataa kusimama wakati alipoambiwa kufanya hivyo na majambazi.
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...

 

10 years ago

StarTV

Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi Bujumbura.

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandamanaji wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa awamu ya tatu.

Walioshuhudia wanasema kuwa polisi walimpiga mwandamanaji huyo risasi mgongoni wakiwa katika eneo la Musaga linalotazamwa kama ngome ya upinzani.

Waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Bujumbura lakini walitimuliwa kwa mabomu...

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AUAWA NA WANANCHI BAADA YA KUMUUA MKEWE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.      Watu wawili wameuawa Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea mnamo tarehe 20/09/2014 majira ya saa 23:30hrs katika Kijiji cha Mzogole Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la MWAJUMA D/O CHOMOLA mwenye umri wa miaka 48, Mgogo mkazi wa Mzogole aliuawa kwa kupigwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani